Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Ka jicho la jini
Ka jicho la jini
Hekima ni nini?
Inawezekana kuwa na hekima wakati wote?
Wazungu halisi wenye asili ya Afrika na ambao hawajawahi ishi Afrika wala hawapajui.
Inatwa kufa kufaana, la lini mara paa maiti imefufuka, dili zote kwishineyHivi ndo wanaiita goli kiki eeeh
Hahahaaaa asante mhengaKuna umri ambao kung'ang'ana na mke mmoja ni kudumaza akili
Kumbandua mdada big G iliyomnasa kwenye gauni lakeKunyandua ni nini?
, kupenda kwako misambwanda hakuingilii hekima uliyonayo..
AsanteHahahahaha!!! Karibu.
Hivi yule Tai walimaanisha nini kamanda wetu? au ni ile hali ya kunyakuwa yeyote awaye popote alipo?Nembo ya Wamarekani hii. Ukiwa na natural resources wanazozitaka basi wanakuletea "demokrasia" yao....kwa nguvu
Kama wakati wa kufukuzia demu. Ukijifanya eti una hekima, misambwanda utaishia kuifaudu kwa macho tuHapana, kuna wakati yakupasa hekima uziweke kando mzee baba
JamaniiKuna umri ambao kung'ang'ana na mke mmoja ni kudumaza akili