Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jamaniiii!!
IMG-20180815-WA0001.jpg
 
*Mapenzi yanavyo watesa wengi. Mpaka wanafikia hatua ya kunywa sumu hata mimi mwenyewe juzi nililia hadi nkafikia hatua ya kunywa juice ya matunda. Sitaki ujinga...!! 🤨🤨*
 
*HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE*

1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.*

2. Jina lako umepewa na *watu wengine.*

3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.*

4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa *watu wengine.*

5. Hata Heshima uliyonayo unapewa na *watu wengine.*

6. Wa kwanza kukuogesha ni *watu wengine.*

7. Wa mwisho kukuogesha pia watakuwa *watu wengine.*

8. Mazishi yako yatasimamiwa na *watu wengine.*

9. Utapelekwa kuzikwa na *watu wengine.*

10. Kila unachokimiliki kitarithiwa na *watu wengine.*

Sasa kwa nini unakuwa na kiburi,dharau na nyodo dhidi ya *watu wengine* ?

Kumbuka hakuna sehemu yoyote katika maisha yetu isiyohitajia *watu wengine.*

Ni matumaini yangu ujumbe huu utawarushia na *watu wengine.*
 
Back
Top Bottom