Uzi maalum wa kujifunza jinsi ya kupata watoto mapacha na jinsia uipendayo

assry

Member
Jul 16, 2017
10
3
Hi,

Leo natoa intro-jinsi ya kupata mtoto na jinsia uipendayo na haswa mapacha;

Kwa mapacha wa kike na kiume kwanza hakikisha mkeo yupo katika kipindi cha joto yaani yai lake lipo tayari wataalam hilo natumai mnafahamu kwa uzuri.

Hivo ukisha mwandaa uzuri na kila mtu yupo high high kwa kupeana utamu hapo sasa hakikisha huna stress ili nyote mfurahie huo utungaji wa hiyo mimba.

Mwingilie mkeo na fanyeni yenu ukimaliza mwamuru mkeo alale kifudi fudi kwa dakika 45 jamani kifudi fudi si mnajua ndio kifudi fudi hapo hapo kitandani yani tako juu tumbo chini, akimaliza dakika 45 hapo anaweza geuka na kuendelea na ratiba zao za chumbani kwani zoezi litakua limekamilika na hapo ndo mapacha wako watakua wametungwa.

Uzi utakaofata ni jinsia tofauti au za kufanana.

Mwito wenu mkihitaji hilo.

Karibuni
 
Mmmh hii michezo yako y kumuamuru mkeo alale kifudi fudi kwa kuweka tumbo chin na matako juu nahc unataka wabaume wapate muda wa kutathimin huo mtako af watende dhambi
 
Nimecheka sana mkuu ila una scientific evidence kuhusiana na uliyosema?
Au tupe reference yoyote
 
Hi,

Leo natoa intro-jinsi ya kupata mtoto na jinsia uipendayo na haswa mapacha;

Kwa mapacha wa kike na kiume kwanza hakikisha mkeo yupo katika kipindi cha joto yaani yai lake lipo tayari wataalam hilo natumai mnafahamu kwa uzuri.

Hivo ukisha mwandaa uzuri na kila mtu yupo high high kwa kupeana utamu hapo sasa hakikisha huna stress ili nyote mfurahie huo utungaji wa hiyo mimba.

Mwingilie mkeo na fanyeni yenu ukimaliza mwamuru mkeo alale kifudi fudi kwa dakika 45 jamani kifudi fudi si mnajua ndio kifudi fudi hapo hapo kitandani yani tako juu tumbo chini, akimaliza dakika 45 hapo anaweza geuka na kuendelea na ratiba zao za chumbani kwani zoezi litakua limekamilika na hapo ndo mapacha wako watakua wametungwa.

Uzi utakaofata ni jinsia tofauti au za kufanana.

Mwito wenu mkihitaji hilo.

Karibuni
Hapo naona umeeleza style mojawapo inayoweza kukupa mapacha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom