Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Chama hilo hapo
Inst-image-4.jpg
 
Goalkeepers: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga

Defenders: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba, Nacho Monreal

Midfielders: Sergio Busquets, Saul, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta, David Silva

Forwards: Isco, Marco Asensio, Lucas Vazquez, Iago Aspas, Rodrigo, Diego Costa

tukutane hapa

Marcos alonso,faby,morata wamepigwa chini
Waliopigwa chini ni hao tu au unataja wa club yako unayoshabikia?
 
Nimeacha kuishabikia bergium kwa kuachwa mpambanaji, jeshi la mtu mmoja radja nainggolan. na amefanya vizuri sana kustaafu timu ya taifa.
 
Kikosi kamili cha Argentina

Walinda lango : Sergio Romero (Manchester United), Willy Caballero (Chelsea), Franco Armani (River Plate).

Walinzi : Gabriel Mercado (Sevilla), Federico Fazio (Roma), Nicolas Otamendi (Manchester City), Marcos Rojo (Manchester United), Nicolas Taglafico (Ajax), Javier Mascherano (Hebei Fortune), Marcos Acuna (Sporting Lisbon), Cristian Ansaldi (Torino).

Vingo wa kati : Ever Banega (Sevilla), Lucas Biglia (AC Milan), Angel Di Maria, Giovani Lo Celso (wote wa Paris St-Germain), Manuel Lanzini (West Ham), Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente), Eduardo Salvio (Benfica).

Washambuliaji : Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain, Paulo Dybala (both Juventus), Sergio Aguero (Manchester City).
 
Washambuliaji Lionel Messi, Sergio Aguero, Paulo Dybala na Gonzalo Higuain wamejumushwa katika kikosi cha wachezaji 23 watakaoiwakilisha Argentina kwenye kombe la dunia nchini Urusi

Lakini mfungaji bora zaidi wa ligi ya Serie A mshambuliaji wa Inter Milan Mauro Icardi ameachwa nje.

Aguero anajiunga na wachezaji wengine watano wa Premier League akiwemo wanayecheza pamoja huko Manchester City Nicolas Otamendi.

Argentina wataaza mechi za Kombe Dunia dhidi ya Iceland tarehe 16 Juni kabla ya mechi zingine dhidi ya Croatia na Nigeria katika kundi D.

Nusura watupwe nje ya Kombe la Dunia lakini hat-trick ya mshambuliaji wa Barcelona Messi iliwaokoa wakati wa mechi yao ya mwisho ya kufuzu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom