Uzi maalum wa gharama za vioo vya simu na Protector zake

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakubwa nimependelea kuanzisha uzi huu maalum utakao toa bei za vio vya simu pamoja na Protector.

Itasaidia kujua gharama halisi ya vioo hivi kwa kupata miongozo kutoka kwa wataalam wetu tulio nao katika kijiji chetu hiki pendwa cha Jf.

Kwani kumekuwa na udanganyifu wa mafundi wetu mtaani kujiropokea gharama yoyote kulingana na mtazamo wa fundi kwenda kwa mteja wake.

Nikianza na mimi simu yangu Sumsung A 12 kioo Complete nimeambiwa 170k.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Vioo vya Lcd Most of time ni chini ya laki na vya amoled ndio bei ndefu laki kadhaa.

Pia unaangalia resolution vya 720p bei chini vya 1080p bei kati vya 1440p bei ghali.

Mfano simu yoyote ile yenye Lcd na kioo cha 720p around 70,000 kuna uwezekano mkubwa kupata kioo.

Ikiwa amoled na 1440p andaa laki 3 na upuuzi hata kama ni simu ya miaka 7 iliopita.
 
Naomba kujua Bei ya kioo Cha Huawei Y9 pamoja na kioo Cha Infinix note 4

Ivi touch screen ya Tecno f1 ni sh ngapi

Asante
 
Naomba kujua Bei ya kioo Cha Huawei Y9 pamoja na kioo Cha Infinix note 4

Ivi touch screen ya Tecno f1 ni sh ngapi

Asante
Touch full ni 25000 mpka 30000 kwa Dodoma hii ni f1 ila wanaoniagizaga nawapiga 50000 na 5000 ya fundi
 
Back
Top Bottom