Uzi maalum: Tujadili vijiji vilivyopatiwa Tsh milioni 50 kuanzia 2016 hadi sasa

“Kupanga ni kuchagua ndio maana wengine walikuwa wananiambia uliahidi milioni 50, 50 kwa kila kijiji ni kweli tuliahidi lakini nilipoingia huku nilikuta mambo yako mengi ambayo yanaweza yakazaa hiyo milioni 50, 50, ukitengeneza treni, reli ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kutoka tu Dodoma zimechukuliwa Trilioni 7 tungezigawa hizo Trilioni kwa vijiji vyote si tungekuwa tushamaliza,” - Rais Magufuli.
Hapa walijiachanganya, haiwezekani nyumbani baba unadaiwa ada ya shule halafu namwambia mtoto kwamba hatopata msosi wa siku mbili kisa unalipia ada ya shule. Ni jukumu lako kuakikisha watoto wako wanakula na kuvaa na kwenda shule na si kuanza kusema eti fedha tumepeleka kule kununulia mbuzi.
 
Tukiri tu kuwa kuiongoza nchi ni kazi sana. Unakabidhiwa ofisi lakini unakuta hali ni tofauti na matarajio yako.
 
Leteni orodha ya vijiji. Kijiji au mtaa wako umepata milioni ngapi?
Magu alisema zimegaiwa "indirect" kwa kujenga zahanati, Wanafunzi kusoma bure n.k.
Aliyasema hayo baada ya kusikia kelele nyingi kutoka kwa wanavijiji na kuamua kuwazuga kwa kauli hiyo.
 
Back
Top Bottom