Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

I know nothing about blogs niko na fb accounts mbili na group chache huko fb...nina pc nzuri...internet sio shida kwangu..muda ninao..hata kamtaji kadogo kama laki hivi ninayo...niko vizuri kwenye kuandika articles na naweza kujua which article itapendwa nasema haya kwa uzoefu mdogo hapa jf sijawahi kuwa na uzi rasmi lakini naona vijilike vingi ninapocoments kwa watu..inshort najua nikikaza naweza tengeneza articles..

ujinga wangu ni kwamba sijui ntajifunzia wapi hayo mambo coz mkwanja nautaka haswa na kila mawazo yangu yananiambia kuna hela zinanisubiri online.

binafsi nina kaelimu kidogo kwenye mambo ya mazingira
na demography sijui kama ni lazima nikasome mambo ya IT

sasa embu mniambie nianzie wapi?
 
cha kufanya fungua site yako katika wordpress.com,nunua domain ya .com kisha iwekee muonekano mzuri halafu andaa articles zako kama 25 hivi za kiingereza kwa niche unayoipenda ww,usisahau kuweka page ya privacy policy,about me pamoja na contact me baada ya hapo omba akaunti ya adsense.unaweza kununua piah akaunti ya adsense kwa wadau kama huhitaji kuomba.
 
ngoja nikufate kabisa ndani
 
mkuu madini yote yapo hapa.. There is somebody named lion tears(machozi ya simba)alishatuma groups hapa, kuna mwingine anaitwa LIKE NIKU ADD hua anashare ujuzi wake .. mimi nimeshatoa ufahamu wangu mwingi hapa na wengine lukuki.. chamsingi wekeza mda wako mwingi kusoma nyuzi mbalimbali za hizi ads network kila kitu kipo humu...hata JF hawaruhusu kurudia rudia contents coz they wonna mark us as a spam..:(:(:(:(
Mkuu nisaidie link ya uzi flan kuna jamaa alipost orodha ya topic zinazokuwa na pesa ndefu kwenye adsense kwa group za mbele,nimesahau jina la huyo jamaa na title ya hiyo sred ila nakumbuka maelezo aliandika hivi "kama wewe ni blogger na unatumia kiswahili acha mara moja njoo huku" aka mention hizo hizo kitu mfano "car charity donation 38%, online collage studying 36%.

Hayo ni maadhi ya maelezo yaliyomo kwenye hiyo sred..
 
Mimi mwenyewe nahangaika kushea huko fb mzee hakuna kitu kabisa .. Bt naendelea kufanya experiment ipo siku nitaweza kucrack hiyo mbinu... Maana ukiwafuata malegends wenyewe wanakuambia shea... Shea... Wewe shea tuuu... Yani ile kukuelekeza kale ka technique ndyo hawataki
mkuu kweli unachosema.. mwenyewe nakutana na kauli za shea shea... ila kuna namna wanaweka content zao wanazoshare hicho ndo hawasemi.. ila tusikate tamaa tutafika tu!!
 
Mkuu nisaidie link ya uzi flan kuna jamaa alipost orodha ya topic zinazokuwa na pesa ndefu kwenye adsense kwa group za mbele,nimesahau jina la huyo jamaa na title ya hiyo sred ila nakumbuka maelezo aliandika hivi "kama wewe ni blogger na unatumia kiswahili acha mara moja njoo huku" aka mention hizo hizo kitu mfano "car charity donation 38%, online collage studying 36%.

Hayo ni maadhi ya maelezo yaliyomo kwenye hiyo sred..
Keywords zinazolipa zaidi kwenye Adsense 2018 hiyo hapo
 
cha kufanya fungua site yako katika wordpress.com,nunua domain ya .com kisha iwekee muonekano mzuri halafu andaa articles zako kama 25 hivi za kiingereza kwa niche unayoipenda ww,usisahau kuweka page ya privacy policy,about me pamoja na contact me baada ya hapo omba akaunti ya adsense.unaweza kununua piah akaunti ya adsense kwa wadau kama huhitaji kuomba.
Natumia blogger na nikasajil domain ya .com ila naona haiko vizur kama WordPress naweza nikahamia wordpress na domain yang ile ile niliyotumia blogger??
 
Back
Top Bottom