Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

Mm Nafanya blog lakini tatizo langu ni kwamba viewers wangu wengi ni watanzania ambao inakuwa ngumu kupata kipato....nimejaribu kufanya kazi na magroup ya nje ambayo nlipata hapa na mengine nlijaribu kununua link kutoka kwa mdau lakini bado viwers wa nje ni tatizo,je nifanyeje ili nipate viwers wa nje hata 2k kwa siku?je ni platform gani nyingine ambayo inaweza kunisaidia kupata viwers Wa blog yangu ukiacha facebook?
Mimi mwenyewe nahangaika kushea huko fb mzee hakuna kitu kabisa .. Bt naendelea kufanya experiment ipo siku nitaweza kucrack hiyo mbinu... Maana ukiwafuata malegends wenyewe wanakuambia shea... Shea... Wewe shea tuuu... Yani ile kukuelekeza kale ka technique ndyo hawataki
 
Mbinu ya kushare ni rahisi Mzee baba....andika caption itayoleta comments na likes kwa mfano.."type amen kama umeamka salama" baada ya Massa kama matano hivi comments na likes zikijaa cha kufanya unaenda kuiedit caption yako unaweka link yako mwishoni mwa caption....
 
Mm Nafanya blog lakini tatizo langu ni kwamba viewers wangu wengi ni watanzania ambao inakuwa ngumu kupata kipato....nimejaribu kufanya kazi na magroup ya nje ambayo nlipata hapa na mengine nlijaribu kununua link kutoka kwa mdau lakini bado viwers wa nje ni tatizo,je nifanyeje ili nipate viwers wa nje hata 2k kwa siku?je ni platform gani nyingine ambayo inaweza kunisaidia kupata viwers Wa blog yangu ukiacha facebook?

Blog yako inahusu nini na ipo kwenye niche gani...? au nipe url niangalie mwenye kama hutojali....
 
:):):)mambo ni motooooooooooo:eek::eek::eek:

Mkuu ujue unapiga pesa mingi sana, lakini mimi
underground nahangaika hata nipate dola 5 kwa
siku nashindwa kwa sababu sijapata magrupu
active ya kushare link zangu hasa USA na UK.
Ungenisaidia hata magrupu mawili tu ingekuwa
sadaka ya kutosha kabisa jumapili ya leo na Mungu atakubariki sana mkuu.
 
mkuu madini yote yapo hapa.. There is somebody named lion tears(machozi ya simba)alishatuma groups hapa, kuna mwingine anaitwa LIKE NIKU ADD hua anashare ujuzi wake .. mimi nimeshatoa ufahamu wangu mwingi hapa na wengine lukuki.. chamsingi wekeza mda wako mwingi kusoma nyuzi mbalimbali za hizi ads network kila kitu kipo humu...hata JF hawaruhusu kurudia rudia contents coz they wonna mark us as a spam..:(:(:(:(
 
Sawa mkuu, groups alizotusaifia mkuu Machozi ya simba nimejiunga nazo na zilikuwa za SA, ndiyo maana nimeomba USA na UK. Mimi ni mfatiliaji sana wa nyuzi zote za ads zinazopostiwa hapa jukwaani, nashukuru sana kwenu wakongwe jinsi mnavyoshare ujuzi wenu mbalimbali katika kutengeneza pesa mtandaoni, mimi niko na ombi moja, kama vile mkuu machozi ya simba alivyoshare magrupu ya SA, na mwingine angejitolea akatusaidia sisi maandaground groups za USA, UK, Canada na nchi nyingine ambazo tukishare huko tutapata pesa walau za kukimbiza maisha haya wakuu. Hali ni ngumu sana mtaani, hasa kwetu graduate tusio na ajira
 
mkuu mbona wewe sio mkweli!!!!!! iweje uwe na groups za machozi ukose hata dollar 5per day...??!! kama kweli una zile groups za machozi ya simba, hauwezi kukosa dollar kuanzia 30$ ++ per day, nina uhakika ninachosema labda hujui ku-share na kuandika habari zenye impact ..:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom