Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

2M ndo bei nilionunulia 2014..Now nimeamua kuuza 3.5 each..fixed price..kwa anaechukua vyote kwa pamoja maongezi yapo.Ni majumba 6 Homboza-chanika-Dar es Salaam
Vipo katika eneo moja au vimepishana kimoja hapa kingine kuleee?!!
 
nina kiwanja vianzi kikubwa hakijapimwa kipo junction mita na hamsini tu kutoka barabara kubwa nakiuza mwenye kuhitaj anifate pm
 
Viwanja vinauzwa vioo jumla ya viwanja 46 vyote vimepimwa....viko ukubwa tofauti tofauti
Yaani kuanzia sqmt 600 mpaka sqmt 2500
Viwanja hicho vipo kigamboni,mwasongwa kutoka feri mpaka hapo kwenye viwanja ni km 22.....
Bei ya sqmt1 ni tsh 8000/
Umeme upo .....karibuni
Kwa mawasiliano zaidi piga 0715 591141
 

Attachments

  • IMG-20170131-WA0019.jpg
    IMG-20170131-WA0019.jpg
    34.3 KB · Views: 135
View attachment 466070View attachment 466071View attachment 466072View attachment 466073View attachment 466074 Mkuu eneo hilo hapo ni heka moja kasoro kidogo lipo bunju A 2klm from bagamoyo road lina mabanda ya kufugia pia kuna chumba na sebure hapo hapo eneo halina hati ni skwata lipo bunju karibu na shule ya gosheni. Bei ni 80milion mnaweza kuzungumza kidogo anayeuza ni ndugu yangu kabisa ana matatizo eneo ni zuri sana. Karibu mkuu 0712464777

Mkuu eneo ni zuri kwa kufanya villa ila bei yake tu kama nisingekuwa nimeshanunua yale maeneo matatu ningemtafuta huyo jamaa yako. Hizi ndiyo nafasi za kuwekeza kwa sasa. Hapo hutupi hela yako ni kama vile umeweka.
 
Hallo

Anayetaka Kiwanja sehemu ambayo ishachangamka tayari(Maji na Umeme)
Huitaji hata Nguzo ya Umeme.

Unaweza kujenga na kuhamia leo leo bila ya kusubiria Huduma hizo muhimu kwa Maisha ya Mwanadam.

Maeneo: Kitunda Magole na Chanika Mjini(Videte)

Kitunda: Bei: 6.5m
*Size*: 50ft X 50ft

Chanika: Bei: 4.5M
*Size*: 50Ft X 50Ft

Buyuni Ilala: Bei: 32M
*Size*: Sqmtr 1111

Buyuni Ilala: Bei: 40M
*Size*: Sqmt 1040

Buyuni Ilala: Bei: 15M
*Size*: Sqmt 706

Call: 0715-240140

*Karibuni*
 
Wiwanja vinauzwa maeneo ya mbagala kwa mbiku ndan kidogo
 
Nauza shamba/kiwanja eka moja seheme kimani Karibu na kinyamwezi eneo ni mzuri sana Bei sh. 15000000/= nitwangie 0655 709499 au 0756 512488
 
Kiwanja kinauzwa kibaha miembe saba.
Ukubwa ni 35*35 sqm
Bei ni 4.5mil
Mawasiliano: 0659247314
 
Eneo linatakiwa kibaha linaloanzia barabara kubwa yan. Morogoro road. Heka 3 m.300 mezani
 
Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3. Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7 maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
Ipo Mapinga Amani 1.5Km toka barabarani 2.5Km toka Baharini.Size ya eneo 35x30 eneo tambarale kabisa bei 25Mi call 0685520568...
 
Back
Top Bottom