chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,034
- 804
Hii kitu inanitesa sana ,kwa sisi ambao tunatumia whatsap plus tunaweza saidika hapa mkuu ?Kwa waliokula tempo ban Karibu tupakue hii new version ya GB WhatsApp ambayo ina antban.
Ili uweze kupakua lazma utumie web au telegram app
Pakua hapa GB WhatsApp v6.95 antban
View attachment 1118707
Kama utakwama karibu nikusaidie