Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,998
sasa hapa umeuliza au unataka kujua nini we mzee?Naomba kujua ka kuna any updates kabla sijadowload hii latest update
Mzee???sasa hapa umeuliza au unataka kujua nini we mzee?
Ni aina ya cm unayoitumia mzee cm inabdi iwe na uwezo mkubwaTatizo lao ni Notification kuchelewa yaani unaweza kutumiwa sms jumapili ikafika Jumamosi asubuhi
Uwezo mkubwa kivipi hebu sema na mimi nijueNi aina ya cm unayoitumia mzee cm inabdi iwe na uwezo mkubwa
"Naomba kujua ka kuna any updates kabla sijadowload hii latest update"Mzee???
Anyways... nimeomba kujua "updates" mpya za version hii kabla cjaidownload.
Ulikua hujaelewa wapi?
Ndo nimeomba kuambiwa hizo update mkuu"Naomba kujua ka kuna any updates kabla sijadowload hii latest update"
mkuu isingeitwa latest update kama hakuna updates
Uwe na storage kubwa ram kubwa kuanzi 1GB na kuendeleaUwezo mkubwa kivipi hebu sema na mimi nijue