costantine chrysant
Member
- Jun 15, 2017
- 50
- 6
Kazana Mungu yuko nawe
Usife moyoTangu nihitimu nimekuwa mtu wa kujitolea pasipo kupewa hata sumuni ila Mungu kanishika mkono na sasa nimeanzisha mradi wangu wa kuuza dagaa wabichi kutoka bukoba.
Ni mwezi mmoja tangu nianze kazi hii ila ugeni katika biashara siwezi sema ni biashara mbaya kimasilahi ila inalipa, Nipo Arusha kwa yeyote atakayetaka dagaa nitamletea popote ndani ya Jiji la Arusha na maeneo jirani.....Dagaa ni wazuri sana Hawana mchanga......
Kwa biashara nitafute kwa namba hii....0692405717.....
Tusisubiri ajira..... Kidogo huleta kikubwa
Ubunifu mzur piaHongera sana kijana. Ukiweza pia wakaange na kupaki vizuri inaongeza thamani ya bidhaa husika (dagaa).
Umemuwahi jamaa, anyway unachosema ni kweli piaKujiajiri kuzuri ila kuna changamoto zake
Kwa watakao kihitaji hiki hapa.THINK AND GROW aaaghhhh kinanitia nguvu sana, I encourage you guys mkisome pia.
Tushauriane, tutahadharishane, tupeane moyo, tupeane mbinu, tukumbushane changamoto, ndio lengo la uzi huu mkuumkuu usisikilize ushauri wa watu,sikiliza moyo wako, ufanye uachokipenda, kifanye Kwa bidii kubwa na with passion
dedication kwenu;
retire young, retire rich by R.Kiyosaki...
Ziweke wazi hizo challenge....!Kujiajiri kuzuri ila kuna changamoto zake