mm napenda kula ila siwez, yaani unakuta napania ila sijawah maliza sahani labda nyumbn ambao wanajua size yang au labda kpnd nipo shuleee, na ni mwembamba kiasi kwamba kiasi kwamba naweza pita kwenye dirisha la griri, huku mtaaani wananiita magriri, maana nishawahi penya kwenye griri kwenda kuokota funguo.