Uzi maalum kwa wanaopenda kukaa/kufanya mambo wenyewe,-anti social

ngora

Member
Sep 17, 2018
76
134
watu hawa wana tabia zifuatazo
1. hawapendi kuongea sana na akiongea anauhakika wa jambo
2. hawapendi kujichanya sana
3. ni wazuri sana katika kushauri
4. wabunifu
5. wanatafakari kwa kina sana
6 km ulibahatika kusoma na mtu wa hvo basi lazma alikuwa anashika namba za mwanzoni darasani
7. wana IQ kubwa wengi wao
8. hawapendi kuongozwa,
9. hawapendi sifa n.k
 
Kwenye Psychology, Anti-social akili yake inaonekana ina afya au hakuna?

Kwenye Youth Delinquency, anti-social ni sawa na kusema rebel and the habit isn't encouraged.

1. Wagumu kushaurika, huhisi wanajua kila kitu.

2. Sadists.

3. Wengi (siyo wote) walikojoa kitandani hadi wakiwa na umri mkubwa.

4. Experienced childhood trauma.

Mengine nimesahau.
 
Ni Kweli Mzee.... mfano Mimi mpaka watu wanani shangaa nilivyo.
 
Umenikumbusha best yangu sedrick yaani alikuwa mkimyaaaa yule ila smart hatari
 
Na sisi waongeaji tusemeje Mkuu maana tumesoma na watu hao lakini waliambulia kichapo kibaya sana katika uwanja wa taaluma na huku kitaa kama huna communication skills huwezi toboa kwani ajira hakuna
 
ngoja nikae kweny huu uzi kama naongelewa vile
Ungekuwa unaongelewa usingekuwa hapa....unaelewa maana ya anti - social hao jamaa wanaongelewa hapo juu hata humu hawamo.......hawajichanganyi na jamii kwenye real world ....mpaka humu kwenye cyber space
 
Na sisi waongeaji tusemeje Mkuu maana tumesoma na watu hao lakini waliambulia kichapo kibaya sana katika uwanja wa taaluma na huku kitaa kama huna communication skills huwezi toboa kwani ajira hakuna
Hao watu wana cord....zao level yao ya mawasiliano ww huwezi ijua.....alafu wengi wana IQ kubwa ww labda ulisoma na watu wapole au waoga.....sio wakimya...
 
Yani huu uzi unanihusu sinaga marafiki wakudumu, nikiona tu vi traits nisivyovipenda unavyo na ni inborn sitaendelea nawe, muda mwingi niko serious na mambo yangu ,niko very selective kwenye marafiki. Kila nikijaribu kujichanganya lazima kuna watu watanibore
 
Hao watu wana cord....zao level yao ya mawasiliano ww huwezi ijua.....alafu wengi wana IQ kubwa ww labda ulisoma na watu wapole au waoga.....sio wakimya...


Mkuu, hivi ukisoma darasa lenye wanafunzi 500 unaweza kukosa hao watu. Vipi huko chuoni napo sikuwakuta. Njoo kitaa sasa ni mwendo wa kuwaburuza tuu mpaka kaburini
 
Back
Top Bottom