Uzi Maalum kwa wanaoingiza bidhaa kutoka nje ya Nchi

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,194
3,835
Ni maalum kwa kuwasaidia wale wenye malengo ya Biashara kwa kuagiza mizigo au bidhaa mbali mbali kutoka nje ya Tanzania kama vile CHINA, DUBAI,UTURUKI, USA , na UK n.k .

Watanzania wengi wanaamini ni ngumu sana kwenda nje na kuagiza bidhaa kuja TZ kwa ajili ya Biashara. Lakini ukuaji wa teknolojia imedhihirisha kuwa ni rahisi hasa kwa ongezeko la shipping agents wengi.

Mfano, ni rahisi siku hizi kwenda China au Uturuki na kuagiza mzigo mkubwa wa biashara na ukakufikia salama ukaanza Biashara kwa bei nafuu. Nguo nyingi za Sinza na KKO ni wadada tu wanaingia zao Uturuki au China na kuchukua mzigo na kupiga hela.

Uzuri ukifika kwenye hizo nchi kuna madalali kazi yao ni kukupeleka maeneo yote ya bidhaa unazotaka, uamuzi utabaki ni kwako .

Ukiwa na milioni 10 unaweza kabisa kuingia China au Dubai na kuchukua mzigo wa ndoto zako japo kwa uchache au kwa wingi na ukaanza kazi.

Kila kitu kina changamoto na faida zake;

karibuni kwenye mjadala wetu utakaosaidia wengi kutoa uoga na kuamini kuwa ni wahindi na wasomali ndio wana guts za Kwenda nje kwa ajili ya bidhaa.

Miongoni mwa changamoto niliyokutana nayo kipindi hicho naanza hii kazi, ni yule dalali Kwenda in advance kwenye maduka niliyotaka kwenda na kunegotiate nao bei on my behalf, wakati nafika pale , kitu cha elf nane nikawa natajiwa elf 13, kumbe elf 5 itarudi kwa jamaa ; nilipoona dalali ana insist nichukue pale kuwa ndio ni cheapest , nilipindua meza na kusema Hapana nitaenda maduka mengine. ikabidi wale wafanyabiashara wafunguke.

Changamoto nyingine ni gharama za Hotel, nauli za ndege wakati mwingine zinapanda sana. Shipping agents kuchelewesha mizigo, price fluctuations.

Je wewe uliwapata vipi wale guiders na madalali wa kukuzungusha kwenye maeneo; je ulikumbana na changamoto gani, ulishawahi kutapeliwa ?

Karibu na utoe experience yako kwa bidhaa ambazo ulienda kuchukua na kuzileta Tanzania sambamba na changamoto zake
...
 
Good thread. Thanks
 
Back
Top Bottom