Uzi maalum kwa wale tuliowahi kupitia mafunzo mbali mbali ya kijeshi na vituko vya huko

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
kuna kozi moja nlienda nakumbuka siitaji kwa jina,nilipigwa nua pale ambapo nilidoji mabio na kutembezwa mugongo mugongO kwenye mtaro wa makoko ya ugali na maharage baada ya hapo kiroho safi unaendelea na vipindi vingine.

siku ingine nakumbuka kuna kigodoro nilikuwa nalalia kina vipande vitatu vya godoro aisee yani unaviunganisha kisha unalalia(kwwnye sakafu)alafu unene wa vipande hivyo kama ulimi wa bilinass,.ikawa nikilalia hilo godoro kwa kuunganisha vipande.

sasa ukijinyoosha tu vipande vinaachana na ngozi inagusa sakafuni aisee baridi kali unaamka unaviweka sawa.ikawa nikilala sijinyooshi mpaka alfajiri tunakurupushwa.

eleza na wewe yale ambayo uliyapata ambayo ukikumbuka unasema kweli ile hatari
 
Eleza kwanza japo hatari yoyote uliyopitia tuione, hapo maelezo yako yanaonesha jinsi gani jeshini ni bata tu! Kutembezwa kwenye makoko na kulalia GODORO basi unaona umeiiiiiivishwaaa kisoja!

Wengine life tulilopitia/tunalopitia ni zaidi ya jeshi, bora huko mnapata hata vipande vya godoro muunganishe mlale, matokeo yake ni uvivu na kukosa weledi. Ubabe mnaonesha kwa raia wanyonge tu
 
hatari hatuisemi mkuu kwa sababu tutawa discourage watakao kwenda huko,tunaeleza changamoto tu mkuu..

hatari zipo lakini kwa rehma za mungu tukatoka salama
 
Sasa hizo changamoto mbona huku uswazi ni mambo ya kawaida katika life letu. We lazima ni wa kishua, mtoto wa mama kaingia kambi
 
kuna kozi moja nlienda nakumbuka siitaji kwa jina,nilipigwa nua pale ambapo nilidoji mabio na kutembezwa mugongo mugongO kwenye mtaro wa makoko ya ugali na maharage baada ya hapo kiroho safi unaendelea na vipindi vingine.

siku ingine nakumbuka kuna kigodoro nilikuwa nalalia kina vipande vitatu vya godoro aisee yani unaviunganisha kisha unalalia(kwwnye sakafu)alafu unene wa vipande hivyo kama ulimi wa bilinass,.ikawa nikilalia hilo godoro kwa kuunganisha vipande.

sasa ukijinyoosha tu vipande vinaachana na ngozi inagusa sakafuni aisee baridi kali unaamka unaviweka sawa.ikawa nikilala sijinyooshi mpaka alfajiri tunakurupushwa.

eleza na wewe yale ambayo uliyapata ambayo ukikumbuka unasema kweli ile hatari
Umepita jeshi la mabitozi, safi sana
 
Nini JKT njooni jeshi la zima moto. Asubuhi chai tatu. Soseji mbili. Mayai 2. Mkate tani yako. Mchana pilau au mandy ya mbuzi mkimaliza msosi mnaenda kutafuta madem. Jioni ugali na nyama au maharage na mboga nyingi. Halafu kulala mpaka saa 2 asubuhi.
 
ahahahh funguka mkuu japo hatujataka vyote,,baadhi tuu
Wenzio...tuliingia Zamu KJ 5....
Tukawa tunapeana Zamu kwenda kula raha na wazri tuliokuwa tunawasogeza karibu na lindo.....
Kila mtu na muda wake....ka mara kwa mara..za mwizo 40
Si A47 ya Gvmnt ikapotea....
Sitosahau....niliona Kozi yote ni kifo....tulifunua na kuitafuta kwenye mashimo yote ya ma....v.....

Kmbe kamanda alitufanyia timing akajua kamchezo ketu
We si akawa ametufichoa hiyo moja...chini ya Godoro...

Kotagad....ilituhusu na maabusu...ya mbu na jasho la Damu....

Sa tulikuwa na ndugu wa mkubwa....sana huko
KJs
Yule anawazidi woteee
Ndo poa yetu...

Hadi leo tukawa tumetawanywa kwenda mitaa hii mingine tuliyojikuta leo...
Tunagandisha mabarafu hapa Baraka Obama ROAD....feri...karibuni
 
daah aisee hii ilikuwa bonge la soo.

hamkuminywa
 
Back
Top Bottom