Uzi maalum kwa 'vitu used'

6x6 350000 location mwanza
20201227_112031.jpg
20201227_111926.jpg
 
Nauza simu yangu Nokia 7.2 GB 128 inatoa picha crear kabisa haina tatizo naiuza kwakuwa nataka kubadilisha simu (toleo jipya Nokia) naiupdate nimetumia miezi miwili tu Kwa ustarabu bei laki 7 alie seriously anicheki Kwa no ya simu 0756 345 939
IMG-20201231-WA0010.jpg
IMG-20201231-WA0002.jpg
IMG-20201231-WA0001.jpg
IMG-20201231-WA0010.jpg
IMG-20201231-WA0003.jpg
IMG-20201231-WA0007.jpg


Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
 
KWA HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Habarini wakuu

Nahitaji Apple Watch series ya 3 au ya 4 used
Kama unayo njoo PM na bei&picha
Asanteni
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom