Kwa bei iyo utapata Godoro gani mkuu?Natafuta godoro
Ofa yangu elfu 40.
Tuma sms 0744033555.
Dar
Ninalo, Sema halizunguki. Lipo static but linapuliza vizuri tuuNahitaji feni wakuu, mwenye nalo sh ngapi??
Uko wapi?Nauza Dekoda ya Canal+ HD kwa wenye mapenzi ya mpira kwa bei nafuu
Kwa mwezi inalipiwa sh 42000 ligi zote ulayaView attachment 1626773View attachment 1626774View attachment 1626775
Friji peke yake tsh ngapi?Ndio mkuu lipo
Nipo chuo cha kaole bagamoyoUko wapi?
Ongeza kakaChukua 60k chief, weka contact zako
Unalipia wapi? Ni dekoda ya kifaransa?Nauza Dekoda ya Canal+ HD kwa wenye mapenzi ya mpira kwa bei nafuu
Kwa mwezi inalipiwa sh 42000 ligi zote ulaya
Mkuu Radio huuziii
Unataka la 2x6..?Natafuta godoro
Ofa yangu elfu 40.
Tuma sms 0744033555.
Dar
Ukihitaji nichekiUnalipia wapi? Ni dekoda ya kifaransa?
Hata panga boya, au kawaida sawa tu mkuu,niambie na bei tafadhari!
Kwendaa 😀😀 sitaki kuendeleaKipenz ni panga boy sio panga boya samahaniii tuendeleee
Kwendaa sitaki kuendelea