Uzi Maalum kwa tuliokutana na Wapenzi wa maisha mitandaoni

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
472
422
Hii mitandao ya kijamii imerahisisha maisha sana, yani unakutana na watu wengi ambao mkielewana mnakuwa jamaa wa karibu kabisa.

Sasa kuna wale ambao tumekutana na Wapenzi wetu mitandaoni, huku bwana hakuhitaji mbwembwe nyingi zaidi ya visalamu na kumuweka mtoto bize na stori nyingi hadi anajaa mwenyewe.

Aidha, pamoja na kukutana nao sio kwamba ni watu wenye tabia mbaya kama inavyosemekana la hasha ni wastaarabu na wanaojua kuishi maisha ya mapenzi kisawasawa.

Wale tuliowapata wapenzi Facebook, Instagram, Twitter ama hapa JF tukutane.
 
Aisee mnapataje... kwa mimi mwanaume ninaweza kumpata mwanamke bila kutuma nauli na ya kutolea?


Tupeni maufundi wakuu
 
Mbagara zakiem narudie tena mbagara zakiemu, nilichotarajia na nilichokiona ni maajab, BTW nilishakielezea hiki kisa humu, mpk leo najiuliza yule alikua mganga au mnajimu?
 
Mtandaoni raha sana asikuambie mtu.

Kuna wenye upendo wa dhati kuliko hata hao waimba kwaya wenu. Most of them wana upendo.

Lakuomba tu ukutane na utakayempenda.
Yaani awe mzuri wa umbo na sura pia.
 
Me niliwapata kama wawili, mmoja aliniambia anasoma chuo cha sua moro, nilimtongoza tu na baada ya siku mbili akaja geto mana alikua anataka kurudi chuo moro.Ila nilivotarajia na nilivokuta ni vitu viwili tofauti dem alikua ni mfupi kupita kawaida, but nikaona anyway ngoja nimkaribishe tu geto, basi nikamkaribisha geto ckuchelewa sana nikamrukia na kuanza kufnya nae mambo fulani ...
Mtot alikua anamaji cjawahi ona ila kwa kua nilikua nina ugumu wa kama miezi miwili nikaruka nae ivoivo af bila kinga basi nikamaliza akasepa kwao. baada ya masaa kadhaa nikaanza kujisikia vibaya.... kumbe mdada alikua na gonjwa baya la ngono aisee niliumia sana lakin ckusikia nikarudia tena.
 
Hahahahahaha!
Irudie brother; hakuna shida
Mbagara zakiem narudie tena mbagara zakiemu, nilichotarajia na nilichokiona ni maajab, BTW nilishakielezea hiki kisa humu, mpk leo najiuliza yule alikua mganga au mnajimu?
 
Mtandaoni raha sana asikuambie mtu.

Kuna wenye upendo wa dhati kuliko hata hao waimba kwaya wenu. Most of them wana upendo.

Lakuomba tu ukutane na utakayempenda.
Yaani awe mzuri wa umbo na sura pia.
Kwani waimba kwaya mtandaoni hawapo?
 
Back
Top Bottom