Uzi maalum kwa ajili ya watumiaji wa simu janja (Smartphone) aina ya Oppo

Tuelezeni basi mliowahi kuzitumia hizi oppo kwa features hizi kama xiaomi.
Je zina second space?
Je zina dual app?
Je zina sehemu ya kuhide sms inbuilt?
Je zina automatic phone call recorder inbuilt?
Je zina automatic recorder?

Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia oppo A83
Zina option ya dual app
Zina option ya call recorder

Changamoto niliyoiyona kwa oppo ni update za android version na ile colour os hamna update
Sim ukiinunua ina android version 9 na color os 5.1 bas utakaa nayo hiyo hiyo


Ila soon nataka nihamie xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nielekeze hapo kwenye ku hide sms inbuilt
Sehemu ya sms ya kawaida tu ukifungua kwenye zile chats,fanya kama unazishusha kilazima hivi toka chat ya mwanzo kuja chini utaona unaingia privacy sms utaona kialama cha kufuli limejifunga!
So utaset password yako,majina yako ya private,notification settings kama unataka zifike(zikija hazionyeshi contact wala sms inaandika tu new notification) au ziingis kimyakimya kabisa unazisomea hukohuko sehem yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya sms ya kawaida tu ukifungua kwenye zile chats,fanya kama unazishusha kilazima hivi toka chat ya mwanzo kuja chini utaona unaingia privacy sms utaona kialama cha kufuli limejifunga!
So utaset password yako,majina yako ya private,notification settings kama unataka zifike(zikija hazionyeshi contact wala sms inaandika tu new notification) au ziingis kimyakimya kabisa unazisomea hukohuko sehem yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok hii feature kwangu naikosa, natumia note 8t saman kwenye note 7 ilikuepo hapa xiaomi alibanwa na sheria za gugo kaweka ibuilt in sms apps kam ya simu zenye android pure(one).
 
Ok hii feature kwangu naikosa, natumia note 8t saman kwenye note 7 ilikuepo hapa xiaomi alibanwa na sheria za gugo kaweka ibuilt in sms apps kam ya simu zenye android pure(one).
Aha mnakosa features kali za xiaomi basi.ndomana mi najifikiriaga mno kuupgrade model zao za siku hizi sababu hiyo
 
You cant be serious mkuu, yaani Galaxy note 9 uache uende oppo? Sifikirii kama oppo wana high end phone kuifikia hiyo note 9!
Wakuu kwanza hongereni kwa kutumia simu nzuri za Oppo kwn kuna wakati fulani niliwahi tumia lkn kuna mtu akafika bei nzuri sana na yenye maslahi kwangu nikaiuza.

Naomba kupata ushauri ni Oppo ipi kwa sasa nzuri sana by specifications, ubora, chaji nataka kubadisha ninunue tena nyingine. Kwa sasa ninatumia Samsung Galaxy Note 9 japo nzuri lkn huwa navytiwa sana na Brand ya Oppo kuliko brand ya Samsung

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo future mbona kuna app za sms ziko poa sana zaidi ya hapo mimi nazijua 3 na zote 3 nishazitumia zote mpka sasa kuna moja wapo natumia iko poa san
Nazijua hizo apps na nimewahi kuzitumia ila bado hazijawahi kushinda inbuilt features za xiaomi hata kidogo.
Delay ya notifications,ads,vimatatizo vinginevyo,mjanja akishika simu anajua kabisa hii ya kudownload.
Sasa kwenye sms default ya xiaomi hayo mambo yatatoka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2020-02-08-23-11-04-739_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2020-02-08-23-11-04-739_com.android.settings.jpg
    61 KB · Views: 14
  • Screenshot_2020-02-08-23-10-27-022_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2020-02-08-23-10-27-022_com.android.settings.jpg
    51.8 KB · Views: 15
Mkuu nmekuambia nimetumia nyingi na zingine zikuzipenda ila hii nilinayo mkuu nakuahidi ni nzur kuliko hata hiyo iliyoko kweny cm yako mkuu hata kama sio ya kudownload kama vp nikutumie uione mkuu ni pro sio ya kawaida mkuu trust meMkuu ona mambo ya hii app chek settings zake zilivo nyingi hiv ujakubali tu kuwa hii ni top ktk app za sms mkuu narudia tena nimetumia app nyingi sana za sms ila hii sjaona mpinzani aise anaeitaka nitampa free hii app kwa watu wanaochepuka ndo mwao hata kama hauna mambo ya kihuni ni nzur tu sana yaani haichelewi kuleta sms wala nn da sjuii misemeje ngoja niishie fikiria kuna app inaitwa Secure sms wanaitangaza sana efm niya kulipia nililipa nikadownload ila sijaitumia mda sana maana skuipenda kama hii japo nilisha ilipia fikiriaView attachment 1351372View attachment 1351373View attachment 1351377View attachment 1351378View attachment 1351379View attachment 1351380View attachment 1351381View attachment 1351383View attachment 1351384
Nishawahi kuitumia hii ila haikua pro.ina features nyingi mno na ni kali ila so long as imeandikwa "messenger" na sio "messages" kwangu inakosa vigezo ndiomana sikutaka kutafuta pro na inachozidi sms default ya xiaomi ni features za ziada kama hd wallpapers na nyinginezo.binafsi sio mtu wakutaka mbwembwe nyiingi kama hizo,main objective yakuhide private chats with or without notifications naipata pia sasa kwanini nihangaike na ma-app yakudownload!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii
 

Attachments

  • Screenshot_2020-06-08-22-44-57-511_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    Screenshot_2020-06-08-22-44-57-511_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    102.5 KB · Views: 14
Back
Top Bottom