Uzi maalum kwa ajili ya watumiaji wa simu janja (Smartphone) aina ya Oppo

Kujifunza zaid kuhusu ColourOS inavyoonekana kucopy IOS unaweza check link hiyo kujua historia na mambo mengine kuhusu magwiji wa technology hiyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za bata na mihangaiko, uzi huu ni maalum kwa simu za Oppo, simu zinazojulikana kama Android Apple kutokana na kufanana sana na aApple kwenye operating system yake ile (Colour OS).

Binafsi natumia Oppo R11s. Ila nataka soon nichukue mzigo wa Oppo Reno 10x zoom pichani

View attachment 1324334

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi hata mimi natumia OPPO R11s ipo vizuri sana ila natarajia kubadili ili nipate F11 Pro , lkn kwenye hii R11s naona haina sehemu ya kutoa mlio wakati wa kupiga picha sijui hiyo yako kama inayo!
 
Wakuu kwanza hongereni kwa kutumia simu nzuri za Oppo kwn kuna wakati fulani niliwahi tumia lkn kuna mtu akafika bei nzuri sana na yenye maslahi kwangu nikaiuza.

Naomba kupata ushauri ni Oppo ipi kwa sasa nzuri sana by specifications, ubora, chaji nataka kubadisha ninunue tena nyingine. Kwa sasa ninatumia Samsung Galaxy Note 9 japo nzuri lkn huwa navytiwa sana na Brand ya Oppo kuliko brand ya Samsung

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww hujapata kutumia kicha Samsung galaxy m30s ingia mtandaoni kaicheki ina betri 6000mah hiyo yako ina ngap usikute ni 5000mah tu harafu unatambaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitafakari
IMG_20200123_161331.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mkuu mimi sina nia wala sababu ya kuupendezesha uzi. Na pia kila mtu anamvuto na brand yake apendayo. Simu yangu ya kwanza aina ya Oppo F4 nilinunua Mombasa, Kenya baada ya kurudi hapa kuna mtu aliihitaji nikamuuzia na niliweka uzi hapa wa kununua simu lkn kwa specifications nilizokuwa nataka sikupata hvy kwenda kununua dukani tu Samsung galaxy note 9. Lkn Brand ya simu nazopenda ni Huawei au Oppo na si Samsung wala Iphone japo namshukuru Mola nikiamua kununua hainishindi. Picha hy hp ya simu tajwa
Cc Mr Misifa

Huo ni uongo wa kutaka kupendezesha uzi hivi kitu cha Samsung note9 unakijua vizuri au

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20191210-WA0014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuelezeni basi mliowahi kuzitumia hizi oppo kwa features hizi kama xiaomi.
Je zina second space?
Je zina dual app?
Je zina sehemu ya kuhide sms inbuilt?
Je zina automatic phone call recorder inbuilt?
Je zina screen recorder?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom