Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,428
Wadau nmekuwa nikifikiria sana namna ambavyo tunaweza shirikishana mambo mbalimbali yanayohusu familia kwa ujumla
Tunaweza shirikishana hapa suala la Ujauzito na Changamoto zake. Uzazi na Changamoto zake, Malezi na Changamoto zake.
Tunaweza shikirikishana namna ya Utunzaji wa mama Mjamzito, Kujifungua (Hospital ,Madawa na Vyakula) uleaji wa Mama Mzazi na Pia Uleaji wa Mtoto Mchanga na pia wa kuanzia miezi 6 hadi miaka 10.
Lengo ni kusaidiana na kushauriana. Nmekumbuka hili tena baada ya kupata Changamoto toka kwa mtoto wangu aliponitaka nimtengenezee paper box, paper boat and paper plane.
Nlikumbuka mbali sana maana before mzee wangu alinifundisha vyote hivyo miaka hiyo nakua. Sasa nmesahau na nmejaribu kuuliza kwa watu wengi hata waliozaliwa miaka ya 90 na kuendelea wananambia hawafaham kabisa.