Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

LinkedIn ina michongo mingi ila watanzania ni wa kuesabika tena wanashidwa kuweka wasifu wao vyema/sawia inavyotakikana. TZ tumechelewa hebu tuamke mazee.
Hallow Mr ambition plus
Naomba unisaidie kwa kunitajia page au watu ambao wanashare michongo ya kueleweka mjini LinkedIn ili na mm niwafollow
 
Hallow Mr ambition plus
Naomba unisaidie kwa kunitajia page au watu ambao wanashare michongo ya kueleweka mjini LinkedIn ili na mm niwafollow
Inategemea na wewe umebobea kwenye nini,ama umesoma nini na unatafuta kaz ya aina gani,
Mfano ukiangalia michongo yangu mingi ni kazi hospitality industry,uko ndio kwangu na nime follow watu wa aina hio.
 
Inategemea na wewe umebobea kwenye nini,ama umesoma nini na unatafuta kaz ya aina gani,
Mfano ukiangalia michongo yangu mingi ni kazi hospitality industry,uko ndio kwangu na nime follow watu wa aina hio
Inategemea na wewe umebobea kwenye nini,ama umesoma nini na unatafuta kaz ya aina gani,
Mfano ukiangalia michongo yangu mingi ni kazi hospitality industry,uko ndio kwangu na nime follow watu wa aina hio.
ooh kumbe
 
Changamkia fursa! Anahitajika receptionist anayejua computer, kingereza na pia anajua kutatua matatizo ya wateja haraka sana! Kazi iko masaki, nipigie 0714217326 sasa hivi ila kumbuka vigezo na masharti
 
Jaribu mchongo huo
IMG-20211006-WA0022.jpg
 
mkuu naomba kuwa mwanafunzi wako tafadhali nipo tayari naomba nisaidie.
mimi ni fundi magari nafanya diagnosis kwa kutumia kifaa cha kisasa pia natengeneza mifumo ya umeme na mechanics kiujumla nipo Mlimani City karibu kwa huduma bora pia nafika popote uli
 
Mimi ni fundi rangi na decoration za nyumba na kufunga /kudesign gypsum board tupeane michongo wadau call or wasup me through 0757735884 location mbeya mjin lakin popote nafanya kaz
20210926115821_instagram_6.jpeg
1633444559557.jpeg
 
Michongo kama yote

Shukran sana.
Ila Tunahitaji userious kidogo kiongozi katika hili na uzi huu, tunahitaji kuisaidia jamii yetu inayoteseka hasa katika maswala ya kazi kupata connection kwa bila utapeli wala ubabaishaji.


Hivyo ninaomba ushirikiano wako juu ya hili Asante na karibu
 
Habari nimemaliza degree ya information systems mwaka huu fresh graduate...natafuta kazi au hata sehem ya kufanya intern nipate mafunzo jinsi kazi zinavyofanyika nina ujuzi sehem zifwatazo programming languages (Java,PHP, JavaScript) , Database design and implementation , web based and Desktop system development , Machine learning and deep learning ...pia na knowledge katika networking routers and routing protocols na window server administration
 
Uaminifu na punctuality ni silahaa kubwa sana kwenye mafanikio

# my tip
Nakubaliana na wewe kwa % ukiwa mwaminifu hakika kila utakuwa umejijengea ukuta mpana sana wa kuwa na mafanikio kupitia wale wanaokuamini..

Hivyo tujipime uaminifu wetu,
Na tuhakikishe tunaujenga uaminifu huo kuwa imara katika kila hatua ya mafanikio yetu
 
Back
Top Bottom