gkasambo
Member
- Apr 12, 2017
- 64
- 70
Hallow Mr ambition plusLinkedIn ina michongo mingi ila watanzania ni wa kuesabika tena wanashidwa kuweka wasifu wao vyema/sawia inavyotakikana. TZ tumechelewa hebu tuamke mazee.
Naomba unisaidie kwa kunitajia page au watu ambao wanashare michongo ya kueleweka mjini LinkedIn ili na mm niwafollow