Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Sioni sehem ya kufuta vyeti naona edit tu kila nikijaribu inazngua cjajua nakosea au
Bila shaka nahis n tatzo la tovuti husika maana siku za karibuni kuna mtu alijaribu kubadili jina la kozi na haikukubali kabisa..

Hivyo nadhani wakifix itakaa sawa.

Pia nikushauri labda kama ulikuwa unatumia simu sasa jaribu tena kwa kutumia computer..

#
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Wakuu nimesoma sayansi na technolojia ya chakula (foodscience and technology) SUA.Naomba msaada wa kazi,Internship au volunteer (viwandani,taasisi za serikali au binafsi) vile vile kwa wazalishaji wa chakula viwanda vidogo natoa ushauri na kuwawakilisha kama food scientist
 
Kazi saidia fundi na kazi zozote za taaluma na zisizo na taaluma napatikana hapa
Location. Dodoma mjini
Kwa manufaa ya wasomaji wa uzi huu..

Mkuu ningeomba utolee ufafanuzi kwa hiyo michongo ya kazi tajwa unazo au unatafuta

Shukran.

Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Wakuu nimesoma sayansi na technolojia ya chakula (foodscience and technology) SUA.Naomba msaada wa kazi,Internship au volunteer (viwandani,taasisi za serikali au binafsi) vile vile kwa wazalishaji wa chakula viwanda vidogo natoa ushauri na kuwawakilisha kama food scientist
Amesomea sayansi na teknolojia ya chakula..

Anahitaji mchongo
Internship
Volunteer
Ajira

Anaomba msaa ili aweze kujikimwamua katika maisha yake pia na kuongeza ujuzi zaidi katika taaluma yake .

Kwa mwenye mchongo bas tumsaidie ndugu yetu
 
Habari zenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina Astashahada ya information and communication technology ( 4.19 GPA) niliyo chukua 2018 SAUTI MBEYA, niko vzr katika maswala ya computer maintenance and troubleshooting kwa software na hardware ... pia networking nimejifua mwenyewe kwa msaada wa ofisi ya RC ambayo nipo kama volunteer ( japo silipwi chochote ).. pia nipo familia na markup languages HTML na CSS.. Java script kidogo. Nna shida ya ajira yoyote halali, pia ata kama ni internship au volunteer lakini niwe napata chochote ili iniokoe na njaa.. nipo Sumbawanga.
Tel : 0624951695

#Tusaidianane
#TupeaneMichongo

Asanteni
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Ungefafanua unauza karatasi za aina ipi na kwa gharama ipi

Mfano mm naweza kununua hata kontena tano la karatasi hizi za lim paper used.
Kikubwa ww niambie kama unazo na unauza kwa bei gn kwa kilo hata zijae kontena kumi, kikubwa taja bei yako kama nitaona ni nzuri, tutafanya biashara
 
Naam atakuja kukupa majibu zaidi..

Asante

Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
kzaratasi za aina gani

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mje mtuletee hata kazi za kutumia nguvu, kufanya asubuhi hadi jioni mtu anapewa ujira wake

Coz hizo kazi za professional tulizo somea imekuwa ni ngumu kuzipata kutokana na current situation ya soko la ajira hapa nchini

Nawasilisha
Naam.
Lengo kuu ni kusaidiana ili mkono uende kinywani na kuepukana na mawazo mengine mabaya ya kishetan kama kwenda kuiba kukaba au hata kujidhuru mwenyewe kwa kigezo cha maisha magumu..

Hivyo bhas wenye michongo tusaidiane ili tuweze kuijenga jamii yetu kwa pamoja.
Watakaojenga jamii ya vijana ni sisi wenyewe vijana,.

Bhas tushikamane kama vijana kwa kupeana michongo.

##
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Back
Top Bottom