Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,019
1,945
Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa.

Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha za vichekesho .mm naanza na hiki.

Kuna mtanzania alizamia meli na kwenda ughaibuni, alipofika kule hakuwa na sehemu maalum ya kwenda akawa anazulula tu mtaani. Mala akashikwa na haja kubwa na hajui huduma ya choo atapata wapi. Ktk zunguka zungua akaoana bustani nzuli ya mauwa akaona pale panafaa kujisaidia, akaenda akashusha suluwali yake akawa anashusha mzigo,

Kwa mbaali akaona polic wawili wakimsogelea apandisha nguo yake haraka akavua kovia ya pama aliovaa akafunika pale alipojisaidi. Polic walipofika wakamuuliza unafanya nn hapo? Akawajibu ninandege wangu alinitoroka tanzania sasa nimemkuta huku kwa hiyo nimemfunika hapa ili asiruke naomba unishikie nikachukue nyumba yake ili nimeweke, polic akaona isiwe kesi akashika ile kofia jamaa akaingia mitini akifanya mpango wa kurudi bongo. Polic walipoona jamaa anakawia kurudi wakashauliana wamshike yule ndege waondoke pale, polic mmoja akafunua kofia kidogoooo akaingiza mkono ili amshine ndege ,aliposhika akatulia km sekunde kadhaa akamwambia mwenzake mm nimeshika kichwa ww ingiza mkono kwa huko umshike mkiani , polic wa pili akaingiza mkono nae akashika kuja kufunua duh.
 
Hivi kuna vichekesho zaidi ya serekale yenye zaidi ya miaka 60 kukosa gari la kumleta gaidi mahakamani?

Watanzania tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana... Mataifa mengine wakifika moja kwa moja wanaenda kuvinjari ila sisi tutaanza kulambishwa glucose ya kurudisha nguvu 😁😁
 
Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa.

Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha za vichekesho .mm naanza na hiki.

Kuna mtanzania alizamia meli na kwenda ughaibuni, alipofika kule hakuwa na sehemu maalum ya kwenda akawa anazulula tu mtaani. Mala akashikwa na haja kubwa na hajui huduma ya choo atapata wapi. Ktk zunguka zungua akaoana bustani nzuli ya mauwa akaona pale panafaa kujisaidia, akaenda akashusha suluwali yake akawa anashusha mzigo,

Kwa mbaali akaona polic wawili wakimsogelea apandisha nguo yake haraka akavua kovia ya pama aliovaa akafunika pale alipojisaidi. Polic walipofika wakamuuliza unafanya nn hapo? Akawajibu ninandege wangu alinitoroka tanzania sasa nimemkuta huku kwa hiyo nimemfunika hapa ili asiruke naomba unishikie nikachukue nyumba yake ili nimeweke, polic akaona isiwe kesi akashika ile kofia jamaa akaingia mitini akifanya mpango wa kurudi bongo. Polic walipoona jamaa anakawia kurudi wakashauliana wamshike yule ndege waondoke pale, polic mmoja akafunua kofia kidogoooo akaingiza mkono ili amshine ndege ,aliposhika akatulia km sekunde kadhaa akamwambia mwenzake mm nimeshika kichwa ww ingiza mkono kwa huko umshike mkiani , polic wa pili akaingiza mkono nae akashika kuja kufunua duh.

Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa.

Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha za vichekesho .mm naanza na hiki.

Kuna mtanzania alizamia meli na kwenda ughaibuni, alipofika kule hakuwa na sehemu maalum ya kwenda akawa anazulula tu mtaani. Mala akashikwa na haja kubwa na hajui huduma ya choo atapata wapi. Ktk zunguka zungua akaoana bustani nzuli ya mauwa akaona pale panafaa kujisaidia, akaenda akashusha suluwali yake akawa anashusha mzigo,

Kwa mbaali akaona polic wawili wakimsogelea apandisha nguo yake haraka akavua kovia ya pama aliovaa akafunika pale alipojisaidi. Polic walipofika wakamuuliza unafanya nn hapo? Akawajibu ninandege wangu alinitoroka tanzania sasa nimemkuta huku kwa hiyo nimemfunika hapa ili asiruke naomba unishikie nikachukue nyumba yake ili nimeweke, polic akaona isiwe kesi akashika ile kofia jamaa akaingia mitini akifanya mpango wa kurudi bongo. Polic walipoona jamaa anakawia kurudi wakashauliana wamshike yule ndege waondoke pale, polic mmoja akafunua kofia kidogoooo akaingiza mkono ili amshine ndege ,aliposhika akatulia km sekunde kadhaa akamwambia mwenzake mm nimeshika kichwa ww ingiza mkono kwa huko umshike mkiani , polic wa pili akaingiza mkono nae akashika kuja kufunua duh.
wakakutana na kitu Cha siagi 😂😂😂😂😂😂
 
Kuna jamaaa alimpeleka mwanae hospitali sasa baada ya kupima akapewa dawa ya maji akaambiwa aitikise dawa kabla hajampa mtoto kufika home akasahau kutikisa dawa, akampa mtoto dawa bila kutikisa , alipokumbuka kwmba hakutikisa dawa akaanza kumtikisa mtoto kwa nguvu sanaaaaaaaaaaa
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom