Kweli hata mimi napata wasiwasi kama huyu mke alikuwa mpelelezi. Kama ni kweli basi walikuwa wanafanya hiyo biashara wote.Naona ukakasi kuwa mke ni informer na amekaa naye miaka 5. Alikuwa anakusanya ushahidi? Miaka mitano informer anafanya nini kwa muuza madawa ? Ambaye akikaa naye miezi mitatu tu anapata ushahidi wote.
Mkuu hawa watu hawatambuliki kilahisi hivyo na ndio code za kazi zao unaweza kukaa nae hata miaka ishirini...na bado usimgundueNaona ukakasi kuwa mke ni informer na amekaa naye miaka 5. Alikuwa anakusanya ushahidi? Miaka mitano informer anafanya nini kwa muuza madawa ? Ambaye akikaa naye miezi mitatu tu anapata ushahidi wote.
Miaka30 siyo mingi👏👏👏Aaache upumbavu yeye ni nani asikae jela, baaada ya raha shida yaja akubali tu miaka 30 siyo mingi atatoka tu