Uzembe wa NECTA ndio sababu ya vijana wengi kuonekana wamefeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe wa NECTA ndio sababu ya vijana wengi kuonekana wamefeli

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Danniair, Jun 8, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitembelea tovuti ya Necta utakutana na tamko la Matokeo ya kidato cha 6 -2012.
  Bila Waislamu kushtuka ina maana hawa watoto ndo ilikuwa imetoka. Natoa pongezi kwa
  kikundi hicho cha Waislamu waliofanya ushujaa wa kwenda kuwakabili Necta.

  Binafsi, nashauri zile shule ambazo zina wanafunzi mahiri lakini mwisho wa Necta, wanafunzi hao
  hutokea wamefeli zifanyiwe utaratibu (kuanzia Necta hii), ili walimu wao waende huko Necta kuangalia
  ni vipi watoto hao wamefeli.

  Nasema hivi kwani mtindo wa sasa wa Necta kupokea Tsh.20,000/= za kukata rufaa kisha kutoa matokeo
  yanayosomeka, "Haikubadilika"; kwa Tz yetu ya sasa (mf. ni utendaji mbovu ktk taasisi za
  serikali na ukali tunaousikia wa Madame Mkurugenzi wa Necta, wa kutotaka kukosolewa) inaleta sura mbili;-
  1. Watoto wetu wamegeuzwa chumo.
  2. Inapunguza morali wa walimu wetu kwani necta haifundishi mashuleni na inamchango mdogo
  kabisa ktk darasa. vitabu vyao havijitosherezi kabisa. Hawana hata maabara moja ya mfano tu.
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wale wezi, pale napo panatakiwa kusafishwa pote. kawambwa asipotaka kuwawajibisha yeye ndo ajiuzulu
   
 3. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sababu waliyotoa bado sijaielewa! Tuna hakika gani hawafanyi makosa kama hayo kwa masomo mengine?

  Na mbona F zimeongezeka badala ya kupungua!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ivi matokeo ya islamic knowledge yanasaidia nin?
   
 5. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  kama una busara jiulize pia matokeo ya bible knowledge yanasaidia nini ?
   
 6. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,450
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Tamko la Serikali hili hapa.
   

  Attached Files:

 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Kwani Tanzania tatizo liko NECTA tu?
   
 8. g

  gati Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali lako ni zuri, lakini swali hilohilo waulize wanailaumu NECTA kuwa inawafelisha, maana hata baada ya kufanya hicho kiichofanyika hakuna better perfomance.
   
 9. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yachunguzwe na masomo mengine tuone kama kutakuwa hakuna better perfomance!.....this is a challenge!
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye RED umeniacha hoooi kabisa ...sasa bado ukifeli utalalamika??
   
 11. g

  gati Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Better perfomance kwenye masomo mengine?, mbona malamiko hayaishi kuwa wanonewa/wanafelishwa?!, nilidhani utaniambia kuwa uchunguzi ufanywe pia kwenye masomo mengine yenye poor perfomance na kuwa huenda huko pia kuna dosari! Hasa zanzibar walikolalama waziwazi kuwa baraza limawaonea.
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Let's face it. Bongo kuanzia bajeti mpaka mitihani watu wanaungaunga tu. Ndio maana wenye uwezo wanapeleka watoto wao hao wanaofelishwa bongo vyuo vya nje nao wanafanya vizuri tu.
   
 13. b

  baraka moze Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  so should no be the case for claiming much
   
 14. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umeshapata jawabu!
   
 15. m

  mabhuimerafulu Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usinikumbushe uonevu huu wa necta walimfelisha mwanangu form 6. Nikalipa sh 60,000 baada ya kukata rufaa, majibu ati 'majibu hayakubadilika', kumbe hata hiyo mitihani hawarudii kuisahihisha jamani wizi wa mchana kabisa! Lakini swali ni hili, inakuwaje hakimu unayemlalamikia hakutoa hukumu ya haki ndo ukate rufaa kwake? Kiwepo chombo kingine mbali na necta ambacho watahiniwa wanaweza kukata rufaa.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuanzia mwaka huu masomo ya arts form V na VI yamebadilishwa(kwenye format ya mitihan ya NECTA),syllabus inayotumika ni mpya imeanza 2009,ajabu ni kwamba NECTA na TIE hawajatoa vitabu,pia kuanzia mwakani watu wa sayansi wataanza kufanya mitihan kwa syllabus mpya
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sasa kama hakuna vitabu mtoto atasomaje????TIE wameandaa mwongozo,vitabu hawajatoa,inakuwaje????na hili kwa sasa lipo,syllabus ni mpya ila hakuna vitabu,,,,wizara,TIE NA NECTA hawajasema,,,,
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  xactly mdau
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  swali kwa mtoa mada???au kwa kila mtu,,,maana hata heading yake iko clear
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli NECTA ni waonevu wakubwa na ni mafisadi wa fedha na haki kuliko hata tunavyofikiri kwa mfano angalia watu wanarudia mitihani yao ya 4m4 ndio utapata jibu, watu wangharamikia fedha nyingi kwenye usajili lakini kwenye usahishaji unakuta wanaburuza tu bila hata kujali, ningependa hiki kilio cha wanaroduia mitihani kingepatiwa jibu na kuwa mwisho kwenye bunge hili la bajeti na tabia hiyo ya kufelisha ikome kabisa, sabau hatuwezi kuendelea na hujuma za wazi wazi na watu tumekaa kimya.
   
Loading...