Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Asante AD,kwa kutujali wadada hasa wale ambao hawajapata fursa ya kupata elimu ya uzazi na namna ya kujikinga,
Kwa uhakika na usalama wa afya yako na kuepuka mimba zisizotarajiwa kwa wale masingo au wasio olewa ni kutumi CONDOM tu,una uhuru wa kumshauri mweza wako(mwanaume)avae yeye au uvae ww (Binti).
 
nakubali nawe ila si kila mtu anaelimu ya mfumo wa uzazi..
mmmh msichana eg miaka 18-25 na misindano? Vitanzi? Vidonge? Khaaa kisa nini elimu ipo ipo bwana heri watumie condom tu izo njia zingine siziafiki kabisa
 
si vizuri kutoa mimba ,ila kama msichana man method hayo mi sikubaliani nayo naona ni vema kwa sababu mwanaume mwenyewe hukai nae mnashtua tu kiaina mkutane siku ambazo si za hatari sio vizuri kuexpose mwili kwenye madawa madawa ya uzazi meeeeeeeeeen

Umeona Smile,

Huwa nafikia mahali hata nashindwa kujua kipi ni bora!!

Anyway, kwa vyovyote vila lazima maisha yasonge mbele...Mbinu yoyote ambayo inaweza kusaidia kwa namna moja au nyingine ni muhimu kuitumia!
 
asante ad,kwa kutujali wadada hasa wale ambao hawajapata fursa ya kupata elimu ya uzazi na namna ya kujikinga,
kwa uhakika na usalama wa afya yako na kuepuka mimba zisizotarajiwa kwa wale masingo au wasio olewa ni kutumi condom tu,una uhuru wa kumshauri mweza wako(mwanaume)avae yeye au uvae ww (binti).
wanaume hawapendi hiyo kidonge kabisa
 
asante AD kwa somo............ wangetumia njia ya uzazi wa mpango ingepunguza idadi ya wasichana wanaokufa kwa utoaji mimba.
 
Hang on a second honey you never told me you could also become a doctor ngoja niendelee kusoma nimalize yote then u'll have my views
 
Afro, binafsi sioni how tunaweza kuongelea Njia za kutumiwa na WANAWAKE alafu tuweke condom, au coitus interruptus (nashkuru hujaiweka).
Kama unavojua (or baybe not) hawa awenzetu ni wazito sana kutoa ushirikiano kwenye amswala ya family planing. Kuna direct correlation kati ya education na uwezekano wa wanaume kutoa ushirikiano. Na kama unavo jua in our rural communities education ni mostly primary (when there is education, that is...)
So we are left with zile njia zinazo milikiwa na wanawake wenyewe. Kwanza hizo za pills mi sizipendi sababu unaweza kuzihitaji na ukawa huna ata that moment, au usahau. It happens. Alafu zina leta too much hormones imbalances zinazo ji-express kw amood swings, kuongeza uzito, kukosa usingizi etc. Kwa kweli sizipendi.
Diaphragm siipendi kwa namna yake ya kuwekwa "in situ". kwa kweli naona kama it is not very 'comfortable' kujiwekea diaphragm na zaidi kukaa nayo for so long. Hiyo inawafaa maybe people who don't live together. sasa kama mke wa mtu unaweka 4 pm so you can havee sex at 6 pm, then at 11pm you have sex, you cant remove it neither, tou keep it. asubuhi mapema mnapasha tena, you cant remove it. By the time unaitoa saa sita mchana unajiuliza kama ile spermicide haikuzidiwa nguvu maana baba alitoa double dose...
Injection nazo zina shida: they are not reversible for the period they are set for. kama ni 3 month, ni hivo hivo, no way to reverse. the same goes (to some extent) for implants. na pia zina mood swings ingawa sio nyingi kama za pills.
To me the one way ambayo haina side effect nyingi, ambayo mwanamke anamiliki reproductive capacity yake mwenyewe na ambae na ambayo unaweza kutoa at any time you want ni... IUD.
They also have side effect/ kuna zile za copper ambazo zinaongeza sana quantity of blood during period, na zile za plastic zinapunguza sana (na sometimes kupoteza for several month). Pia sababy ya kale ka uzi kanako kaa on the cervix kuna risk ya infection. But ukiwa msafi na ukiona adverse effect ya methods zingine naadhani it is still fine.
To me it is the best way.
 
mmmh msichana eg miaka 18-25 na misindano? Vitanzi? Vidonge? Khaaa kisa nini elimu ipo ipo bwana heri watumie condom tu izo njia zingine siziafiki kabisa

Nimekusoma, ila bado ntaendelea kusisitiza matumizi ya hivyo vitu kwa wale wanaotaka uhakika. Sasa hivi wengi wanafanya kubahatisha kama unavyoshauri na ndio maana hawaishi kutoa mimba. Sasa wewe uniambie, unadhani bora wanywe vidonge kuzuia au wabahatishe alafu wakatoe mimba kienyeji na kuhatarisha maisha yao pia kukatisha maisha ya viumbe visivyo na hatia?......
 
asante AD kwa somo............ wangetumia njia ya uzazi wa mpango ingepunguza idadi ya wasichana wanaokufa kwa utoaji mimba.
Tuko pamoja mkwe.
Mi nashangaa watu mimba hawataki na bado kuzizuia hawataki.Matokeo yake wanaishia kulia na kwenda kutoa kienyeji.
 
afro, binafsi sioni how tunaweza kuongelea njia za kutumiwa na wanawake alafu tuweke condom, au coitus interruptus (nashkuru hujaiweka).
Kama unavojua (or baybe not) hawa awenzetu ni wazito sana kutoa ushirikiano kwenye amswala ya family planing. Kuna direct correlation kati ya education na uwezekano wa wanaume kutoa ushirikiano. Na kama unavo jua in our rural communities education ni mostly primary (when there is education, that is...)
so we are left with zile njia zinazo milikiwa na wanawake wenyewe. Kwanza hizo za pills mi sizipendi sababu unaweza kuzihitaji na ukawa huna ata that moment, au usahau. It happens. Alafu zina leta too much hormones imbalances zinazo ji-express kw amood swings, kuongeza uzito, kukosa usingizi etc. Kwa kweli sizipendi.
Diaphragm siipendi kwa namna yake ya kuwekwa "in situ". Kwa kweli naona kama it is not very 'comfortable' kujiwekea diaphragm na zaidi kukaa nayo for so long. Hiyo inawafaa maybe people who don't live together. Sasa kama mke wa mtu unaweka 4 pm so you can havee sex at 6 pm, then at 11pm you have sex, you cant remove it neither, tou keep it. Asubuhi mapema mnapasha tena, you cant remove it. By the time unaitoa saa sita mchana unajiuliza kama ile spermicide haikuzidiwa nguvu maana baba alitoa double dose...
Injection nazo zina shida: They are not reversible for the period they are set for. Kama ni 3 month, ni hivo hivo, no way to reverse. The same goes (to some extent) for implants. Na pia zina mood swings ingawa sio nyingi kama za pills.
To me the one way ambayo haina side effect nyingi, ambayo mwanamke anamiliki reproductive capacity yake mwenyewe na ambae na ambayo unaweza kutoa at any time you want ni... Iud.
They also have side effect/ kuna zile za copper ambazo zinaongeza sana quantity of blood during period, na zile za plastic zinapunguza sana (na sometimes kupoteza for several month). Pia sababy ya kale ka uzi kanako kaa on the cervix kuna risk ya infection. But ukiwa msafi na ukiona adverse effect ya methods zingine naadhani it is still fine.
To me it is the best way.
thax kwa ushauri hizi method naona umezungumzia upande wa wanandoa suppose ni vibinti 13-25 unashauri njia ipi?
 
wanaume hawapendi hiyo kidonge kabisa

Kwahiyo wewe uko kwaajili ya kumfurahisha mwanaume au kujilinda na kitu ambacho hutaki/huna uwezo nacho?Na anapokichukia anakichukia kwa vigezo gani wakati sio yeye anaemeza?

Na je huyo asiependa hicho kidonge yuko tayari kupokea mimba na kulea mtoto?Kama jibu ni ndio basi ana haki ya kukichukia, if not then he doesn't.
 
Kwa kweli elimu hii ni nzuri sana tatizo lilipo hata hizi hospitali tulizonazo hata ukienda hawakupi extra information unazopashwa kufahamu kuhusiana na uzazi wa mpango, sintoshangaa kama kuna baadhi ya watu wanaofanya kazi kwenye mahospitali hawajui hata jinsi ya kumuelezea mtu njia hizi pindi wanapoenda hospitali.

Nakumbuka kuna shirika moja ni NGO lilikuwa linahamasisha kweli uzazi wa mpango.

Sasa naona kama hiyo project nguvu zimepungua tunaweza kusema tatizo hili na haya yaliyozungumziwa hapa watu walioko vijijini wapewe zaidi elimu hii lakini pia hata hapa mijini kuna watu still elimu hii hawajaijua na wengine haifahamu kabisa well siwezi kulaumu Wizara ya Afya kwa kutokuwa na elimu endelevu kwenye suala hili lakini hata hivyo ni jukumu letu sote as much as i hate mtu kutoa mimba basi ni bora kati ya jinsia hizi mbili kuwepo na mazungumzo na mawasiliano ya mara kwa mara how to go about kabla hamjakutana kimwili au hata mkikutana ni njia gani mnakuwa mmejiwekea kuepuka na neno "Bahati Mbaya"
 
nimekusoma, ila bado ntaendelea kusisitiza matumizi ya hivyo vitu kwa wale wanaotaka uhakika. Sasa hivi wengi wanafanya kubahatisha kama unavyoshauri na ndio maana hawaishi kutoa mimba. Sasa wewe uniambie, unadhani bora wanywe vidonge kuzuia au wabahatishe alafu wakatoe mimba kienyeji na kuhatarisha maisha yao pia kukatisha maisha ya viumbe visivyo na hatia?......
ujue kuna vitoto vinaanza kudandiwa from 12yrs hata 10 yaani unataka vitumie masindano na mavidonge jamani watumie tu condom mweeeh?????//
 
thax kwa ushauri hizi method naona umezungumzia upande wa wanandoa suppose ni vibinti 13-25 unashauri njia ipi?
Kwa sababu nilizo zitaja juu the same methods zinafaa kwa wote.
PS: chini ya 18 you better use abstinence.
 
"Bora KUZUIA kuliko KUTOA"
Me likey. . .

Kama hii elimu ya uzazi ingekua inawaingia wengi na wakazingatia viumbe vingi sana visingeonja mauti kwa starehe za watu wengine.

Ntacopy hii kitu niweke kwa blog,

Asante Lizzy kwa kuwa muelewa.
Na hii si kwa kila mtu ni kwa wale tu wanaotaka kujua na kutumia..
 
Back
Top Bottom