Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Sina lengo baya ila chumvi imezidi purukushani mpaka kuangikia mtoni pesa zilikuwepo ukasombwa na mafuriko pesa iko...mhhh hata kama ya kutunga too much lies Mimi nimeishia hapo.Asante kwa kushare mkuu ila mwandishi aliweka chumvi nyingi Facebook watasoma ila hapa ni ma graduates ngumu sana kuwadanganya halafu hata kama ni riwaya inatakiwa uhalisia thanks for your time mkuu.isiwe mwisho wa kushare..shukrani.
 
Mkuu ni maana ya uru .? Umeandika kwenye I'd yako hapo
 
Naunga hoja, na pia sielewi wazamiaji wote wanakwenda bondeni tu. Maana asilimia 90 naona no SA tu.

Uzi ukichanganya wanautelekeza.

Anyway tusimhukumu kwa makosa ya wengine aendelee tu labda anaweza kuwa tofauti.
Sasa Mkuu utazamia Ulaya wakati nauli hauna huko SA walikua wanaweza kuanza safari hata wakiwa na elfu hamsini wananunua vitu kariakoo kwenda kuuza Tete au maputo akipata chochote anaendelea na safari ipo sehemu wanaiita katembe katembee ina umbali mrefu sana unatokea Kwazulu Natal huko hapo katikati wapo wamama wafugaji wa ng'ombe wakiona safari imekua ngumu wanaomba kazi hapo wengi walikua wanatunukiwa mpaka mabinti au mama mwenyenyumba huko Manguzi mimi yupo jamaangu aliwahi nasa Manguzi kwa miaka miwili mpaka alipoamua kukimbia kafika Cape Town lugha zote anazijua vizuri ila ni mgeni...na jina tulimpa James Manguzi mpaka kesho anatambulika hivyo
 
Mkuu naona umeamua Kudandia gari kwa mbele kama Hii stori ulikua nayo kwanini usiitoe siku zote mpaka mimi Nimeaza kuiposti wewe ndo unajifanya Kuingilia......Acha utoto.
Walipokamatwa mbugani na game reserves walipigwa pingu. Gari ilipopata ajari je pingu zilifunguka??. Kama hazikufunguka walitembea na mapingu barabarani??. Hizi story acha nisome kuleta usingizi tu ili nilale.
 
Back
Top Bottom