Uzalo Special Thread

😀😀 unajua kuchagua 😁 nilitaka nimrecommend kwako 😅😅yule ni chombo haswa achana na ayanda kashachuja btw nadhani anaitwa mondi.
Pastor Ayanda Xulu anaitwa Mondi? Mkuu utani mwingine sio mzuri😂😂😂😂
 
Umesema Ayanda keshochuja anaitwa Mondi kwa jinsi alivyo na madem wengi au tumwite King Mswati wa Eswatini Kingdom😂😂
🤣🤣🤣mbavu zangu... hapana bhana usinisababishie dhambi kwa pastor wa watu😅 nimemwambia jina la uyo new guy alieingia kwamashu kama jana ulicheki utakua ushamjua
 
Ya leo sio ndefu sana,

Mxo anazidi kumu ignore mrs xulu, yeye na ayanda ni paka na panya nyumbani kwao (familia mpya)

Nosi anaenda kuongea na mxo anaonekana kama kuwaonea huruma

Mdogo ake ayanda anatarajia kuondoka kuanza masomo yake ya chuo

Xulu anamtafuta mkewe waonane ila aende mwenyewe,,,,mkewe kaenda ile wanaongea tu polisi haoo. Ikaishia hapo

NB: Naona kama mondi katumwa hivi maana pale anaongea na dolmo kuhusu kutrak simu after kupata taarifa xulu katoroka then anasema anaona tu Nosi kawasiliana na mxo ila Mrs xulu hajapokea simu yoyote wakati alikua anachat na mumewe. Au they only track phone and not messages?
 
yes naona Mondi ni Mabuza aliye changamka
 
Hongera pia leo nimeipata nimeiwahi
Mangcobo kaingizwa kwenye mazaga ya mumewe maskini.
Sema xulu Mafia sana kawasha moto akasepa 😀😀

Mxo inaonekana kuna kitu kapanga kichwani halafu ayanda mzinguaji anaona kama mxo atachukua title yake hapo Home...

nimemuona mondi aseeh huyu jamaa ni chawa wa xulu...!

NB: bado couple yetu na mrs dhlomo ndo Big talk kwamashu 😀😀
 
Back
Top Bottom