Uzalo Special Thread

😅😅 jamani kwani mama kimbo yuko ka huyu kichwa panzi tena
Mama kimbo shida yake ana mdomo sana lakini huyu kichwa panzi ni duka la ushirika au pombe ya ngomani, kila mtu anajichotea.. 😀

Sasa nimechoka nataka dhlomo ajue tu mie ndo spare taili jamni 😀
 
🤣🤣🤣 Kwaiyo unataka kutangaza vitaee ngoja tuone..
 
Hivi jamani hawa wasouth tamthilia nyingi zao tunazofatilia lazima wachomekee mambo ya mapunga ili tuone kawaida?

Sasa hapa gc wanamuaga kwenda kwa mpenzi wake kwahiyo gc ni mke hii scene iinanichefua sana..

Kule isidingo alikuwepo yule thabang, lakini sio kama gc hadi anajiremba Pooh!

Marudio nimeyaona wakati wa search warrant mangcobo kajichanganya sana yaani xulu vithibitisho akivyokutwa navyo ni Vingi lakini jamaa sioni nafasi ya yeye kwenda jela, Ila zweli anaweza kamatika kirahisi kwa alichofanya ni ujinga
Kwanza dhlomo anaweza kumfungulia mashtaka zweli kwa kukimbia kinyume na makubaliano maana ana kesi nyingi kwenye kitabu kile..

Pia mxo ndio anasikitisha sana huyu kukamatwa inaweza kuwa rahisi zaidi maana kazoea easy money...

Nilikuwepo..
 
Wee kulikuwa na prata kbl ya thabang
 
Mrs Zulu yupo under arrest,

Wananchi na CPF wamechachamaa wanataka kumuua zulu,

Zweli na dada yake wakefanikiwa kutoroka,

Nosi tumbo linamuuma sana katoa mimba,

Imebidi mxo na Zulu wakimbilie kanisani huko wakamkuta ayanda na mama yake,,,,,ayanda akatoa bastola anataka ampige zulu, zulu ndo anamwambia yeye ni Baba yake ayanda haamini mama yake anamwambia ni kweli. Polisi wanatokea wanamkamata zulu na mxo (hii part nimesikitika). Then imeishia hapo.
 
Sana inahuzunisha
Yan Zulu mazima anamkana mxo kuhusu jina,mxo anabakia kushangaa
 
Mrs Zulu yupo under arrest,

Wananchi na CPF wamechachamaa wanataka kumuua zulu,

Zweli na dada yake wakefanikiwa kutoroka,

Nosi tumbo linamuuma sana katoa mimba,

Imebidi mxo na Zulu wakimbilie kanisani huko wakamkuta ayanda na mama yake,,,,,ayanda akatoa bastola anataka ampige zulu, zulu ndo anamwambia yeye ni Baba yake ayanda haamini mama yake anamwambia ni kweli. Polisi wanatokea wanamkamata zulu na mxo (hii part nimesikitika). Then imeishia hapo.
safi sana kwa update nimepata kitu
Mimi naona kabisa ayanda hatoweza biashara za xulu, mxo tayari alikuwa kaiva.

Haikuwa na haja ya kuwaambia watoto ukweli, tatizo ramli za mamlahmbo ndo jau
 
Back
Top Bottom