Uzalo Special Thread

Wadau yaleo ilikuaje naombeni updates...
Nos kameza vidonge kutoa mimba nadhani itakuwa ya Ayanda.
Dhlomo kaenda na search warrant kwa Gaxbhashe na wamepata logbook ya wale wote anaowauzia magari ya wizi na pia wamepata gobole.
Manzunza kaenda nyumbani kwa Mangboco na wote kila mtu anajutia kwa yote yalotokea.
Mxo naye ndo hivyo tena anawafokea Mangboco na manzunza kuwa itakuweje kila mmoja alee na kukuza mtoto ambaye si wake kwa muda wote huo wakati kulikuwa na viashiria. Hivyo Mxo kachukua vyake na kuondoka zake.
Sma na Zweli wamefanikiwa kuchoropoka kutoka mikononi mwa Xulu baada ya Sma kumrushia Xulu kitu usoni na kuathiri uoni wake.
Kiufupi ni hvo.
 
Sasa huyo mhuni Mxo kaenda wapi!? Sipati picha watoto tofauti waishi kwenye familia zao mpya, mbona inazidi kuwa tamu
 
Nos kameza vidonge kutoa mimba nadhani itakuwa ya Ayanda.
Dhlomo kaenda na search warrant kwa Gaxbhashe na wamepata logbook ya wale wote anaowauzia magari ya wizi na pia wamepata gobole.
Manzunza kaenda nyumbani kwa Mangboco na wote kila mtu anajutia kwa yote yalotokea.
Mxo naye ndo hivyo tena anawafokea Mangboco na manzunza kuwa itakuweje kila mmoja alee na kukuza mtoto ambaye si wake kwa muda wote huo wakati kulikuwa na viashiria. Hivyo Mxo kachukua vyake na kuondoka zake.
Sma na Zweli wamefanikiwa kuchoropoka kutoka mikononi mwa Xulu baada ya Sma kumrushia Xulu kitu usoni na kuathiri uoni wake.
Kiufupi ni hvo.
Asante! Hao wakina mama wanamtihani sanaa..Ghabashe nae kuchomoka kwa dhlomo anakibarua kizito
Nosi anakizaazaa shuguli pevu kweli kweli
 
Gxabhashe hawezi chomoka kwa Dhlomo, na atakuwa yeye kama yeye maana tayari Zweli atakuwa amechomoka kihvo maana alikuwa kaplan muda mrefu na alikuwa ameshakata tiketi mbili, yake na ya Sma ila Sma alileta kibri fulani hvi akasema haondoki. Ila baada ile roba ya Gabhashe nadhani akili itamkaa sawa.
Ila Ayanda atakuja kujuta kumpekea Dhlomo ile black book. Maana hajui kama Gxabhashe ndo baba yake mzazi
 
Haahahaa Pancho nimevutia picha maneno yako kwa sauti ya kibabe ulivyosema"Huyu nosi achana nalo halina akili ndio matokeo ya kugawa hovyo"🤣🤣🤣
Mxo anayo shughuli pevu
😁😁😁😁usinitoneshe kidonda jamani naomba update ya jana na leo
 
nosi anakiona cha mtema kuni sasa.

Shukrani kwa muhenga aliyetunga huu msemo.
Zweli kafanya move mbovu sana atajutia japo jana na leo sijaangalia Ila yajayo yanafurahisha 😁😁😁
Jagiya naomba niwe mchepuko 😁😁
 
Nos kameza vidonge kutoa mimba nadhani itakuwa ya Ayanda.
Dhlomo kaenda na search warrant kwa Gaxbhashe na wamepata logbook ya wale wote anaowauzia magari ya wizi na pia wamepata gobole.
Manzunza kaenda nyumbani kwa Mangboco na wote kila mtu anajutia kwa yote yalotokea.
Mxo naye ndo hivyo tena anawafokea Mangboco na manzunza kuwa itakuweje kila mmoja alee na kukuza mtoto ambaye si wake kwa muda wote huo wakati kulikuwa na viashiria. Hivyo Mxo kachukua vyake na kuondoka zake.
Sma na Zweli wamefanikiwa kuchoropoka kutoka mikononi mwa Xulu baada ya Sma kumrushia Xulu kitu usoni na kuathiri uoni wake.
Kiufupi ni hvo.
hapo kwa nosi
FB_IMG_16373438284441923.jpg
 
Gxabhashe hawezi chomoka kwa Dhlomo, na atakuwa yeye kama yeye maana tayari Zweli atakuwa amechomoka kihvo maana alikuwa kaplan muda mrefu na alikuwa ameshakata tiketi mbili, yake na ya Sma ila Sma alileta kibri fulani hvi akasema haondoki. Ila baada ile roba ya Gabhashe nadhani akili itamkaa sawa.
Ila Ayanda atakuja kujuta kumpekea Dhlomo ile black book. Maana hajui kama Gxabhashe ndo baba yake mzazi
hapo ndio pale ayanda anahitaji kukaa na baba yake kwa ukaribu zaidi anakumbuka ashachelewa majuto ndio yanaanza msonga
 
😁😁😁😁usinitoneshe kidonda jamani naomba update ya jana na leo
😅😅pole.. kuhusa ya jana....Mxo baada ya kuondoka pale home anazurura na mwishowe kwenda kwa manzuza na kumueleza kuwa yeye ndiye mtoto wake na walibadilishwa na ayanda hivyo ayanda n wa xulu.. heee manzuza ka kawaida kaja juu na kumtimua mxo
Manzuza kaenda kwa mamlambo kuthibitisha kakuta ni hivyo hivyo na kuambiwa inabidi mkubali wote (familia mbili) lasiivyo mkizidi kushupaza shingo yatatokea majanga hasa kwa mxo
baada ya xulu kurud home baada ya kuchoka kumtafta mxo anampromise mkewe kua atatuma mtu amtafte... kisha anachukua ufunguo kufungia chemba yake ya siri na kukosa black book anamuuliza mkewe kitabu kikowapi na anaejua hii ishu ni wewe mxo na zweli mama akasema ajui ila alimuona mxo akiwa maeneo ya hapo kwenye kisanduku
Xulu kwa ghadhabu anatoka na kwenda kazini kumtafta mxo.. ila anamkosa na kuambiwa ajaja kazini... akamuulizia zweli akaambiwa nae ajahudhuria akasepa
Kwa zweli nae akiwa na haraka ya kujiandaa ili wasepe(yeye na dadae kumkwepa xulu maana kilishanuka) anampigia sma ili awahi kurud wasepe mda huo mlango unagongwa anaingia zulu na kusalimiana na zweli kisha akamuomba amtrak mxo maana ajui yupo wapi zweli akiwa anaweweseka akaitika xulu akona nguo zikiwa zinakunjwa apo kitandani akauliza vipi zweli akajibu kua ni nguo anapeleka kwa mpenzi wake akafue ka kawa xulu machale yakamcheza.... akamwambia kwa hivyo umeiba kitabu changu ili uje unizunguke sio.....
Ndio hayo ya jana niliyo bahatika kukumbuka Its Pancho
 
nosi anakiona cha mtema kuni sasa.

Shukrani kwa muhenga aliyetunga huu msemo.
Zweli kafanya move mbovu sana atajutia japo jana na leo sijaangalia Ila yajayo yanafurahisha 😁😁😁
Jagiya naomba niwe mchepuko 😁😁
Maji yamezidi ungaeee😄😅😅ila kwa mimi ka mbali tu maana utaenda jela buree
 
😅😅pole.. kuhusa ya jana....Mxo baada ya kuondoka pale home anazurura na mwishowe kwenda kwa manzuza na kumueleza kuwa yeye ndiye mtoto wake na walibadilishwa na ayanda hivyo ayanda n wa xulu.. heee manzuza ka kawaida kaja juu na kumtimua mxo
Manzuza kaenda kwa mamlambo kuthibitisha kakuta ni hivyo hivyo na kuambiwa inabidi mkubali wote (familia mbili) lasiivyo mkizidi kushupaza shingo yatatokea majanga hasa kwa mxo
baada ya xulu kurud home baada ya kuchoka kumtafta mxo anampromise mkewe kua atatuma mtu amtafte... kisha anachukua ufunguo kufungia chemba yake ya siri na kukosa black book anamuuliza mkewe kitabu kikowapi na anaejua hii ishu ni wewe mxo na zweli mama akasema ajui ila alimuona mxo akiwa maeneo ya hapo kwenye kisanduku
Xulu kwa ghadhabu anatoka na kwenda kazini kumtafta mxo.. ila anamkosa na kuambiwa ajaja kazini... akamuulizia zweli akaambiwa nae ajahudhuria akasepa
Kwa zweli nae akiwa na haraka ya kujiandaa ili wasepe(yeye na dadae kumkwepa xulu maana kilishanuka) anampigia sma ili awahi kurud wasepe mda huo mlango unagongwa anaingia zulu na kusalimiana na zweli kisha akamuomba amtrak mxo maana ajui yupo wapi zweli akiwa anaweweseka akaitika xulu akona nguo zikiwa zinakunjwa apo kitandani akauliza vipi zweli akajibu kua ni nguo anapeleka kwa mpenzi wake akafue ka kawa xulu machale yakamcheza.... akamwambia kwa hivyo umeiba kitabu changu ili uje unizunguke sio.....
Ndio hayo ya jana niliyo bahatika kukumbuka Its Pancho
Mazunza anapanick sana lakini Hope kaelewa ukweli
Kwahiyo sasa zweli kabanwa na xulu safi sana aseeh nataka zweli apotee kwa ujinga wake, bado nina imani xulu ana nguvu kwenye hii Case.

Wa kumhurumia ni mxo kijana amezoea luxury life na easy money, nje ya hapa ata survive?

Kwa huyu kishikwambi anayegawa gawa hovyo mimi nilishampa talaka na sihusiki kwa yeye kunyanduliwa na Kaka yake 😁😁

NB: vizee sio dili haviwezi kazi vitakuja kuwafia 😁😁
 
zweli naona ndio walifanikiwa kutoroka episode iliyofuata..
Uyo mxo lazma afatane na xulu jela hayo maisha ya luxury asahau
Manzu lazma akae tuh....
🤔🤔Ntafikiria hiloo (kuhusu wazee)
 
Hebu tubet mimi naona xulu bado ana nguvu hawezi kwenda jela huyu Ila zweli na mxo hawachomoki hawa hawana hela wala Power..

Ni mtazamo tu na mumeo dhlomo nae tutamfunga 😀😀
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom