Uzalo Special Thread

Hujaangalia vzr,anaongea nae kwa upendo kbs,na unaona kbs ana kitu ndani anataka kusema lkn nadhani muda bado
Anaongea nae kwa huruma kama baba, na vile Ayanda anavyomjibu kwa heshima basi Xulu mdomo unatetemeka anatamani kusema kitu.
 
niaje wakuu
mxo kwahiyo atafute pa kwenda ama?
maana xulu kamwambia mkewe ukweli anachekesha sana eti "i feel sorry for you" yupogo kama mbongo:D:D:D
 
niaje wakuu
mxo kwahiyo atafute pa kwenda ama?
maana xulu kamwambia mkewe ukweli anachekesha sana eti "i feel sorry for you" yupogo kama mbongo:D:D:D
sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tu
Natamani pale Zulu atakapomwambia mkewe kuwa mtoto wao ni Ayanda,huku akijua binti yake sipho kamzimikia Ayanda
 
sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tu
Natamani pale Zulu atakapomwambia mkewe kuwa mtoto wao ni Ayanda,huku akijua binti yake sipho kamzimikia Ayanda
Alimwambia jana mkuu, kama hukuona.Bado tu Nos kujua kuwa Ayanda ni kaka yake wa damu, hpo ndo patakapokuwa patam wakati alishagegedwa.
 
Basi hiyo sehemu nilipitwa
Bado mkewe hajaamini kuwa watoto wamebadilishwa na Ayanda ni mwana wao. Mangcobo na Xulu wamekwenda hospitali kumtafuta yule nesi aliyemueleza vile pamoja na rekodi zao lakini hakuna kilichopatikana.

Ila nina wasiwasi na yule Amandla kuwa siyo mtoto wa Xulu, ni wa kuzushiwa tu.
 
Ndio sio mtoto wake
Walitaka tu hela za urithi
 
Back
Top Bottom