Uzalo Special Thread

Ili linombuso litakuwa limetoa mimba haiwezi kutoka yenyewe tu..
Yaani ana laana huyu nyau, kudadeki.

Ayanda jamaa anapata shida sana yaani nadhani anamkumbuka nkule sana kaoa mshamba wa jiji na kilaza kila wanaloongea ndani ya ndoa anaenda kuwaambia kina thobile dah.

Nosi na ayanda soon wananyanduana..
Xulu na midevu aseeh dah 😀😀
 
Nombuso hakutoa mimba Bali ile kupima DNA alikolazimishwa na Ayanda ndio ilisababisha mimba kutoka!
 
hapana anasingizia tu
Mbona wangapi wanapima DNA na hazitoki. Tena changa vilee?

Sasa kapata njia ya kumpelekesha ayanda
 
Ile mimba imetoka baada ya kupima DNA kwa ile njia iliyotumika. Katika uhalisia wa maisha huwa wamama wanashauriwa kutokupima DNA wakati mtoto akiwa tumboni, ni mpaka baada ya kujifungua kwa vile ni high risk na mimba inaweza kuharibika.

Na ile mimba siyo changa sana maana ni ya yule Mxo ijapokuwa amemkomalia Ayanda.

Ila kwa sasa mzigo wote ameangushiwa Ayanda hasa baada ya kumlazimisha kusema hadharani madhambi yake kule kanisani, halafu na mimba kuharibika.
 
sasa nimeelewa nilikuwa najua DNA inapimwa hata mtoto akiwa tumboni pia.
 
Anampenda ayanda, and yuko taarifa ku build ndoa yao sema ayanda ndo anamawenge
Hivi ungekuwa hata wewe ungekubali kulea mtoto sio wako?
Siku ya ndoa mtu katoka kunyanduliwa usiku kucha kaja na janaba kanisani utaoa?

Nadhani labda hukufuatilia vizuri nombuso anampenda ayanda?🙄🙄
 
Hivi ungekuwa hata wewe ungekubali kulea mtoto sio wako?
Siku ya ndoa mtu katoka kunyanduliwa usiku kucha kaja na janaba kanisani utaoa?

Nadhani labda hukufuatilia vizuri nombuso anampenda ayanda?
Nimefuatilia toka mwanzo. Lkn naomba msamaha kila siku. Ananiudhi sana ayanda
 
Unazungumziaje kurudi kwa khabashe
Safi sana wamefanya la maana
Xulu karudi yupo na anafatilia mambo mengi hasa kuhusu mdogo wake mk mwenendo wake,
Kwa sasa hajitokezi ila nina imani soon atakiwasha hadharani..
 
Back
Top Bottom