Uzalo Special Thread

Huyu Binti mizinguo sana inaonesha hafulahii kuolewa na Ayanda na pia Mxolisi kaanza kujirudisha mdogomdogo kwahiyo lolote linaweza kutokea tu.

Imagine Ayanda na Amandla ni mtu na mdogo wake hahahaa ila phindile anaonekana ni mapepe sana.
Huyu demu nombu ni malaya kiufupi halafu utajiri wa kina mxo unamzuzua mke umechumbiwa halafu unasimama barabarani na ex wako public ni nini kama sio kumkosea heshima mumeo mtarajiwa?
Anatafuta laana huyu Dada ndio shida ya washamba wa vijijini wakija Town..
 
Uliicheki leo asubuhi mkuu?
Niliicheki mkuu ,, Linombuso halieleweki linataka nini, mimi ananikera'! Na mama yake anajua binti yake ni bikra kumbe wapi. Kwenye kipande kinachofuata ataambiwa ana mimba

Mxolisi amedakwa na police Nombuso analia kwa uchungu sana sijui anahisi hawataonana tena

Nimependa mk alivyojitetea mahakamani hajakaa kiboya boya
 
Mwanangu huyu sbu muhuni sana yaani ana mitikasi mingi sana.
Kila akija lazima akiwashe.. Bila shaka atakuja na mpya.

Leo naona MK kacheza kama pele kesi imegeuka juu chini.
Mxo akiwa na nombu demu mshamba akadakwa na dhlomo bado mastermind tu.
Judge kacheza kama pele. Msala umegeuka.

Yaani ayanda atakoma sana kwa huyu nombu. Alijifanya kumuumiza nkule wa watu hadi demu akaenda zake, sasa acha akione.

Huyu phindile naona ni mtu wa dili kawageukia kwa mama xulu sasa anataka urithi eti amandla ni damu ya xulu mama mxo kamtimua.

Mambo sio powa mkuu wangu ..
Nilicheka sana alivyokokotwa na malindi
 
Snitch SBU hawajamuonesha tena tangu alivyotoroka hospital msela nilikuwa namkubali sana by the way Mabuza kuna kitu anakifahamu sana kuhusa Xulu na Kuna uwezekano Xulu hajafa.
Upo wapi wewe
Zulu hajafa na Mabuza kamuhifadhi sehemu ya ovyo kuna mmama anamuhudumia
 
Dah kwenye hii tamthilia watu wana majina mengi me walikuwa wananichanganya. Huyu malindi (Lindiwe) pia wanamuita MaNgcobo
Eeeh mkuu kariri jina moja mengine yaache
Mxo na nosi wanaitana "ntwana"
MK atamuita mama mxo "ma ngcobo"
Mastermind sometime anaitwa "zweli" ndio jina lake kabisa.
😀😀😀😀
 
Eeeh mkuu kariri jina moja mengine yaache
Mxo na nosi wanaitana "ntwana"
MK atamuita mama mxo "ma ngcobo"
Mastermind sometime anaitwa "zweli" ndio jina lake kabisa.
sasa mimi nikikariri noja, utaona wanaitana kivingine. Kina Zulu pia wanaitwa Sukhumuzi kwa hiyo unakuta mtu akiwa anam-refer Zulu atamuita Gxabhashe au Sukhumuzi me wananichanganya bwana
 
Hatimaye mtoto malaya aiyetulia kama nesi wa zamu kakipata cha mtema kuni
Kwao wanajua ni bikra na soon mwenyewe anaanza kutema tema matee. 🙌🏾🙌🏾😀😀

Ayanda jamaa ana akili sana huyu kweli hakika ni damu ya xulu og.. Kachagua kuwa pastor kwa manufaa ya mama yake na mdogo na kuendeleza legacy ya baba yake. 🙌🏾🙌🏾

Zweli kamchoma mwenzie yeye kajificha 😀😀😀
 
Hatimaye mtoto malaya aiyetulia kama nesi wa zamu kakipata cha mtema kuni
Kwao wanajua ni bikra na soon mwenyewe anaanza kutema tema matee.

Ayanda jamaa ana akili sana huyu kweli hakika ni damu ya xulu og.. Kachagua kuwa pastor kwa manufaa ya mama yake na mdogo na kuendeleza legacy ya baba yake.

Zweli kamchoma mwenzie yeye kajificha
Hahaaa sasa utamuona mpenzi wako Nambuso aatakavyotapatapa
 
Hahaaa sasa utamuona mpenzi wako Nambuso aatakavyotapatapa
Mpenzi wa nani kigagula huyu si alinikataa sio huyu? Kisa nauza samaki kwenye kapu langu kutwa kichwani..?

Sasa acha ateseke yaani kufa hafi cha moto anakiona. 😀😀😀🙌🏾🙌🏾
 
Dah phindile ni nomaa 🙌alimuweza xulu balaa, sio kwa akili hiyo aliyomuingilia nayo...
Namuonea ayanda huruma maana hatima aliyoipitia naona inataka kurudi tena kwenye maisha ya familia yake apo baadae😔
 
Dah phindile ni nomaa alimuweza xulu balaa, sio kwa akili hiyo aliyomuingilia nayo...
Namuonea ayanda huruma maana hatima aliyoipitia naona inataka kurudi tena kwenye maisha ya familia yake apo baadae
Unahisi Nombuso atamsingizia Ayanda mimba?
 
Dah phindile ni nomaa 🙌alimuweza xulu balaa, sio kwa akili hiyo aliyomuingilia nayo...
Namuonea ayanda huruma maana hatima aliyoipitia naona inataka kurudi tena kwenye maisha ya familia yake apo baadae😔
Leo nimeikosa imekuwaje eti nipe detail hadi za nosi wangu na mwanaharamu nombuso.

Ayanda namkubali sana
 
Mpenzi wa nani kigagula huyu si alinikataa sio huyu? Kisa nauza samaki kwenye kapu langu kutwa kichwani..?

Sasa acha ateseke yaani kufa hafi cha moto anakiona.
Tapeli Richardpesa walizompiga Zulu hawajatosheka sasa wanataka kusingizia Amandla mtoto wa.Zulu
 
Back
Top Bottom