Uzalishaji wa Tanzanite umepungua, migodi inayofanya kazi ni chini ya 20% tu

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Gazeti hili limeripoti kuwa, migodi inayofanya kazi ni asilimia 20 tu, ukweli ni kwamba Mererani si ile unayoifahamu hali imedorora hadi vijiji vya jirani, maisha ya wananchi yamekuwa magumu sana na biashara nyingi zimeanza kusimama.

Tuendelee kuunga juhudi.

IMG_20181205_071954.jpg
 
story haiko balanced. Je kiwango cha makushanyo ya kodi kimeongezeka au kupungua? bei ya Tanzanite sokoni ikoje sasa? isije ikawa waliokuwa wananufaika na Tanzanite kama wakenya na India ndiyo wanaolalamika baada ya kudhibitiwa kwa haya madini
 
Mkuu nadhani kwa akili ya kawaida tu kama uzalishaji umeshuka hadi 20% lazima makusanyo yashuke tu,otherwise labda kwa awamu hii ambapo kumekuwa na contrast nyingi kwenye ripoti zao;
1. Mizigo imepungua makusanyo yameongezeka bandarini
2. Biashara zinakufa,TRA wanavunja rekodi za makusanyo
3. Watu hawaioni pesa ila uchumi unapaa kwa kasi
4. Watu wanalia ukata ila viwanda vipya zaidi ya 3000 vimejengwa ghafla sijui bidhaa hizo ananunua nani km raia wako hoi mifukoni.
4. Mkulu anavozidi kuboronga ndivo anavozidi kuungwa mkono na wapinzani wake.
Haya yaliwezekana kwenye mji wa kichaa tu kwa mfalme juha!
 
Usiongelee makusanyo ya kodi, ongelea uzalishaji/mapato ya jumla.

Kodi za jumla, kwa serikali zetu hizi ambazo mara nyingi huwadhulumu watu wake kwa kupandisha kodi kwa viwango visivyowianika na faida, kodi inaweza kuongezeka hata kusipokuwa na ongezeko la uzalishaji.
 
Mapato ya jumla ambayo hayatupi kodi yana maana gani kwa nchi? Kumbuka Tanzanite ni non renewable.
 
Mkuu nadhani kwa akili ya kawaida tu kama uzalishaji umeshuka hadi 20% lazima makusanyo yashuke tu,otherwise labda kwa awamu hii ambapo kumekuwa na contrast nyingi kwenye ripoti zao;
1. Mizigo imepungua makusanyo yameongezeka bandarini
2. Biashara zinakufa,TRA wanavunja rekodi za makusanyo
3. Watu hawaioni pesa ila uchumi unapaa kwa kasi
4. Watu wanalia ukata ila viwanda vipya zaidi ya 3000 vimejengwa ghafla sijui bidhaa hizo ananunua nani km raia wako hoi mifukoni.
4. Mkulu anavozidi kuboronga ndivo anavozidi kuungwa mkono na wapinzani wake.
Haya yaliwezekana kwenye mji wa kichaa tu kwa mfalme juha!
inategemea na ufanisi katika kukusanya mapato na mianya ya ukwepaji kodi wakati uzalishaji uko 100%. Kumbuka kuwa baada ya kujengwa ukuta tuliambiwa mapato yamepanda sana. Ni jukumu la mlete habari kutoa taarifa ambayo iko balanced pande zote.
 
Back
Top Bottom