Uzalishaji wa mazao kwenye nyumba ya wavu yaani(Greenhouse)

Mrkingcamel

Member
Jul 27, 2021
16
12
UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE

Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la baadhi ya wakulima kwa sasa nchini.

Hivi sasa kumekuwa na uhamasishaji mkubwa wa kilimo hiki kwa vile wakulima wengi wamekuwa na shauku ya kupata faida kubwa lakini kwa bahati mbaya sana hawana uzoefu wa kutosha wa teknolojia hii. Makampuni mengi yanayojihusisha na uundaji wa greenhouse wanasema kilimo hiki ni kama vile mgodi wa mpya madini kwa maana kwamba hutoa fursa nyingi za faida kibiashara ambapo hakuna mkulima yeyote ambaye angependa kuzikosa.

nyanya%20chungu.jpg
 
Back
Top Bottom