Uzalishaji wa asali

AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
45
Hellow friends,, tuna organisation inayojihusisha na ufugaji wa nyuki na uzalishaji wa asali, naomba msaada wenu kama naweza kupata sponsor ili tuweze kupanua mradi uwe mkubwa kuweza kujiendesha wenyewe

any one with an adea, help, assistance.

Nawasilisha tafadhali!!!!!!
 
Maelezo yako hayajafikisha ujumbe, hujasema mko wapi, mna mizinga mingapi, hujasema changamoto zinazowakabili, hujasema mpaka sasa mmefanikiwa ktk eneo gani, etc etc. Yaani huyo sponsor mnataka awasaidie nini?
 
so mnataka niweke proposal nzima au??, nyie nipeni channel za sponsors sio maswali tena,,, kama cjakosea mtakuwa mlisoma la sita b..
 
Maelezo hayajitoshelezi kabisa. Yaani kama umekurupushwa flani hivi.. Kajipange mkuu urudi tena

cpendi majibu ya kukurupuka mnayoyatoa, its a wastage of tym, nyie mlitaka niweke plan na proposal nzima hapa au???, we kama unamjua mdau sema me ntajua cha kufanya..
 
so mnataka niweke proposal nzima au??, nyie nipeni channel za sponsors sio maswali tena,,, kama cjakosea mtakuwa mlisoma la sita b..

Tafuta mkopo mkuu..., mfano kwenye vikundi (saccos) itawasaidia sana kukuza mtaji wenu.
Je mnatumia mizinga ya kisasa?
Teknolojia yenu ya kuvuna asali nayo ni ya kisasa au?
Je mnavuna kiasi gani cha asali kwa mwaka?
Ningependa kujua mengi pia ili niwashauri jinsi ya kuweza kupiga hatua.
Ni-Pm kama unataka ushauri zaidi.
kila la kheri.
 
Ni proposal kumbe?
Mkuu, ufugaji wa nyuki umejadiliwa sana humu ndani, ziko nyuzi nyingi sana za jambo hilo, na kuna watu wanajulikana ambao unaweza kuwaendea. Hakuna sponsor ambaye hatakuuliza maswali ya msingi. Na swali mojawapo utakalo ulizwa ni hili; una nini mkononi wewe kama wewe. Ukisema huna kitu na hujawahi fanya hiyo project, pesa hupati.
 
ni proposal kumbe?

thanks!! We have been running this business for 6 years now so simply we have "something" in hand, but currently tunataka tuongeze capacity kwenye hii organisation so tunatafta sponsor wa kufanya nae kazi.. Thanx for your concern
 
Tafuta mkopo mkuu..., mfano kwenye vikundi (saccos) itawasaidia sana kukuza mtaji wenu.
Je mnatumia mizinga ya kisasa?
Teknolojia yenu ya kuvuna asali nayo ni ya kisasa au?
Je mnavuna kiasi gani cha asali kwa mwaka?
Ningependa kujua mengi pia ili niwashauri jinsi ya kuweza kupiga hatua.
Ni-Pm kama unataka ushauri zaidi.
kila la kheri.

THANKX, NAWEZA KUSEMA TUKO MBALI KIDOGO (KAMA M40 NDO CONTRIB YETU) NA PIA TUPO KISASA ZAIDI KWA KILA KITU KUANZIA TRAINNING HADI VIFAA TUNAVOTUMIA, UZALISHAJI NI MKUBWA,,

OUR PROJECTED CAPACITY NII KAMA IFUATAVYO

***12,000 modern bee hives are expected to be on use in our apiaries.
One bee hive is expected to produce 20 litters of honey and 2 kilogram of bee wax.
Therefore; 1,200 bee hives X 20 litters of honey @ = 24,000 litters of honey per annum.
1,200 bee hives X 2 kg of bee wax @ = 2,400 kg of bees wax per annum.

One litter of honey is 6,000/= Tshs for local price, hence 6000 x 24,000 litters = 144,000,000/= Tshs per annum.
One kilogram of bees wax is 7,000/= Tshs for local price, hence 7,000 X 2,400 kg = 16,800,000/= Tshs per annum.
Total annual output = 160,800,000/= Tshs minus the total amount for investment which is 98,122,200/= Tshs, then the profit is 62,677,800/=Tshs which justify the profit of the project.******
 
Sasa unaanza kuja ili ueleweke,
Kuna watu humu ambao wako ktk hiyo field ambao naamini ukiwapata( mimi nitakupa simu ya mmoja wao ukitaka) watawatoa vizuri. Jitahidi mpate site nzuri kama mnataka asali ya soko la nje.

Kawatembelee akina Honey King pale Kibaha unaweza pata mawili matatu.
 
Back
Top Bottom