Uzalishaji Katika Migodi Mitatu Ya Acacia Robo Ya Tatu Ya Mwaka Wazidi Matarajio

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Tanzania: Production At Three Acacia Mines 'Ahead of Expectations'

By The Citizen Reporter
Dar es Salaam — As Barrick Gold Corporation is set to publish its third quarter production and sales results, production at its subsidiary Acacia gold mine was ahead of expectations.

According to a statement posted on the Acacia website, the company produced 191,203 ounces of gold and sold 132,787 ounces of gold during the third quarter from its three mines. Barricks holds 63.9 per cent shares of Acacia's operations.

Production was ahead of expectations at Buzwagi (69,097 ounces), driven by strong grades, with production at North Mara (72,011 ounces) and Bulyanhulu (50,094 ounces).

Read. Gold production at Bulyanhulu mine to be slashed by over half

However, the company notes that production at the mines were impacted by work permit issues and moving to reduced operations respectively.

The statement further indicates that sales were below production due to the ban on the export of gold/copper concentrate produced at Bulyanhulu and Buzwagi from Tanzania.

"Acacia will provide more details within our third quarter results on the October 20, 2017," reads part of the statement.
 
Baada ya wafanyakazi kutishiwa kupunguzwa kazi naona sasa wameamka maaana walikuwa wanakiona kihama cdhao kilee kinajuka. Just imagining zile bata wanazokulaga watu wa migodini soon zingekuwa history na wengerudi mtaani kutuchimbia mashimo ya vyoo!
Kumbe wakati mwingine wafanyakazi raha zikizidi huwa tunajisahau tu!
 
Hao watu wa migodi hao wote walishakubuhu kwa marumizi mabaya ya fedha, siyo meneja, au kibarua
 
Baada ya wafanyakazi kutishiwa kupunguzwa kazi naona sasa wameamka maaana walikuwa wanakiona kihama cdhao kilee kinajuka. Just imagining zile bata wanazokulaga watu wa migodini soon zingekuwa history na wengerudi mtaani kutuchimbia mashimo ya vyoo!
Kumbe wakati mwingine wafanyakazi raha zikizidi huwa tunajisahau tu!
Unasumbuliwa na wivu kama dem wa uswazi. Kwa taarifa yako mpaka ss wafanyakazi wote tunapoteza Ajira. Ila unalipwa mafao manono hivyo bado tutaendelea kula sana vyuku. Pambana na hali yako Mkuu.
 
Madini yapo ya kutosha....tunachotaka ni fedha halali ya kodi....na wao wapate faida yao.
NI RAHISI SANA...HAIHITAJI ELIMU YA MIGA
 
Back
Top Bottom