Arusha Leo
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 122
- 72
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa kuanza kumtambua kwa kupitia mlango wa nyuma.
Tangu ufanyike uchaguzi wa meya wa Jiji la Arusha, kumeibuka mvutano wa kisiasa uliosababisha Chadema wawatangazie wananchi kutomtambua Meya huyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Omari Mkombole akizungumzia matumizi ya fedha zilizotumika katika uzinduzi wa Jiji hilo hivi karibuni alisema kwamba
madiwani wa vyama vyote walishiriki vikao muhimu vya kufanikisha sherehe hizo.
chanzo,Mwananchi