UZALENDO WA WATANZANIA KWA TIMU YETU YA SERENGETI BOYS

TRUTH gasper

Member
Mar 27, 2017
64
82
Nimefurah sana kuona watanzania tuko pamoja katika kuishangilia timu yetu ya under 17, na ndio timu amabayo nina iman itatunyanyua katika miaka ijayo na kutupaisha kimataifa. Timu ya taifa stars sidhani kama itaweza kufanya maajabu zaid ya hapo ilipofikia ukizingatia wachezaji ni wale wale miaka yote na umri wao umeenda.
 
Back
Top Bottom