Uzalendo wa Rais Magufuli uko wapi hapa kwenye kuharibu pesa kwa uchaguzi ambao ni kiini macho?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,486
8,704
Kwa nini zitumike pesa za Walipa kodi kuandaa Uchaguzi ambao lengo lilisha julikana kabla ya Uchaguzi wenyewe?

Uzalendo wa Magu uko wapi hapa? Kwa nini ateketeze pesa kwa viini Macho? Hizo pesa si bora angeongeza bombadia?

Inasikitisha sana na cha kusikitisha zaidi kuna wapuuzi wanashabikia huu ujinga, Hizi ni Kodi za Mama zenu na Baba zenu kule vijijini wanako kunywa maji na mifugo.
 
Daah! Sasa uchaguzi usipofanyika ndio itakuwaje tena? Hata hivyo afadhali ungesema wanaotarajia kushindana nae wakubaliane kwamba kusiwe na uchaguzi na wasilalamike ili hiyo bajeti ya uchaguzi itumike kwa hayo mavitu unayoyasema...nani atakuwa tayari?? Ni business kama zingine.
 
Mlikataa kujiandikisha sasa unatipigia kelele jf kana kwamba hapa ni TAMISEMI

Next time mjipange maana hii onjesha tu big move inakuja 2020


State agent
 
Kama kuna mtu anaamini Magufuli ni mzalendo basi ni mpumbavu mzalendo anachezea amani ya nchi kiasi iki? pumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom