Uzalendo,uzalendo,uzalendo-wapenda Moira popote Tanzania Mchango Timu ya Taifa bukubuku tu M-PESA/ti

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
542
Tff toeni namba wadau wajimwage angalau kwa DSM tu tukijimwage watu laki 1=tunachangia Million 100,Samantha akichukua robo yaani Million 25, tuta encourage timu jamaan hii ndio siri ya wenzetu,Wikend Njema
 
Kwani rambirambi Bukoba ilikuaje? thubutu watu kichangia hata mia mbovu. kichwa cha mwendawazimu hiki nani achangie? Na ni Mwwndawazimu kwelikweli
 
Hakuna anayeweza kuchanga labda wachange Bashite na Mzee wake tulichanga Bukoba wakala.
 
Acha utani..hii bongo ata wachangie watu laki 2 huwez ambiwa kiasi halisi kilichopatkana...wabongo tunajuana bana
 
Tff toeni namba wadau wajimwage angalau kwa DSM tu tukijimwage watu laki 1=tunachangia Million 100,Samantha akichukua robo yaani Million 25, tuta encourage timu jamaan hii ndio siri ya wenzetu,Wikend Njema

Timu yetu ya Tanzania bado ni kimeo sana na haifai msaada wowote. Ukimwondoa Samatta, timu yetu si lolote si chochote na haifai kuisapoti hata kidogo, bado ni kichwa cha mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom