Uzalendo upo wapi kwenu DAWASA kwa watu wa Kibaha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo upo wapi kwenu DAWASA kwa watu wa Kibaha?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngomicom, Oct 26, 2012.

 1. n

  ngomicom Senior Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nisaidieni kufumbua maswali ninayojiuliza dhidi ya hawa dawasa na wananchi walipa kodi waishio Kibaha. Naamini wengi mnajua kuwa DAWASA huchukua maji hapo mto Ruvu, abadani ili maji hayo yafike Dar es salaam lazima yapite Kibaha. Kiukweli wananchi wa kibaha wanahangaika kupata maji sana, kibaya zaidi wachache wanaopata maji wanakatiwa maji eti kwa madai maji yanaenda kwa wakubwa hivyo wanakibaha wasiyatumie, Ajabu kweli, eti Wakubwa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  wakati wote ni watanzania. Uzalendo upo wapi? Ukubwa wao upo wapi unaowazidi walipakodi?
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hata Dar hakuna maji......So msidhani ni nyie kibaha peke yenu..
   
Loading...