Uzalendo unaelekea kunishinda, huyu mke wa mshikaji anazidi kunitia majaribuni

Poleni na majukumu na hongereni kwa kuimizana namna ya kuidhibiti corona..

Twende pamoja.
Wakuu ipo hivi hapa mimi ni msaka tonge kama ilivyo kwa wengine sasa mwaka 2017 kuna dada akawa mteja wangu,tulikuwa hatujuani wala kuwa na mazoea kabla ila alionekana mchangamfu kila akifuata mahitaji hapa kijiweni kwangu..

Kuna siku alihitaji mawasiliano yangu kwa kigezo cha kama atahitaji chochote basi atanipigia ili nimtumie kuokoa muda mimi nikampa bila shida yoyote,nilikaa siku mbili bila kumuona,kuna siku nimefunga kijiwe basi nikaona nizame mahali nipige jibapa nikalale.

Imefika saa nne hivi ikaingia msg moja ndefu imejazwa maneno ya kimahaba na samahani za kutosha mwisho kamalizia" kesho saa4 asubuhi naomba tuonane nina maongezi na wewe" kucheki namba siijui kupiga anajitambulisha yeye ni fulani,nilihisi mapigo ya moyo yakinienda speed hatari na sio sababu ya ile msg bali ni kwajili ya alietuma, huyu dada ameumbika kila idara kwa muonekano na kiumri nimempita mbali tu,kabla ya hapo washkaji walihisi napiga lakini ukweli hata kumtongoza tu sikuwahi sababu tiyari nilikuwa na mke ambae kila mara alikuwa anakuja hapa kijiweni bila taarifa nikaona baharia nitakuja dakwa kipuuzi acha nimlindie heshima kama anavyolinda yangu.

Sasa kesho yake manzi kanicheki nikamwelekeza sehemu ya kumkuta haikupita hata dkk 5 kaniambia amefika mimi nilikaa zaidi ya nusu saa ndio nikamuibukia.

Cha kushangaza manzi aliikana ile msg na kudai mimi ndio nimemwambia tuonane,nilimuonyesha ila alikataa katu kuwa namba ni zake lakini msg sio yake huku akijichekesha chekesha aisee nilimind.

Baadae ananiambia"niambie" nikajua huyu kuikana msg ni ili asiwe mwanzilishi wa maongezi,baada ya muda kidogo tukawa tunaongea maongezi ya kawaida ila akawa anachanganya huko na yale ya kwenye ile msg mwisho nilimwambia nimeoa na nina familia kwa hyo mimi na yeye kuwa karibu na ule muda sijisikii vizuri..

Badae naye alifunguka kila kitu,kumbe kaolewa na mtoto juu lakini kipengele cha kuolewa alikielezea kwa unyonge sana nikajua huyu kama hakuzalishwa akiwa 4m4 basi ni 4m2 maaana ni bado mbichi kabisa na aliyemzalisha ndio kamuoa tuliachana nikajua ataendelea kuwa mteja na sio zaidi maana sikutaka kugusa kabisa mali ya mtu wakati yangu ikiguswa naweza teketeza hata kijiji kwa panic!

Siku zilienda na manzi akaendelea kuwa mteja kama mwanzo ila aliongeza mazoea akija kijiweni anataka awe wa mwisho kuhudumiwa na muda wote macho yakigonga ananitazama kwa jicho la ajabu mpaka naona aibu mimi..mara sijui natamani kukugusa nk.kuna siku alinikuta mwenyewe ile nimemalza kumhudumia kanyoosa mkono kanigusa shavu akaondoka huku anacheka,sikumuelewa!

Siku moja alinipigia simu mida ambayo ndio nafungaga job nikamwambia namalizia kufunga akakata simu haikupita hata dakika akafika akakuta ndio nimerudishia sehemu ya milango ila bado nilikuwa sijatoka ndani,aliingia moja kwa moja ndani na sio kuishia wanakosimama wateja.

Kile kitendo kilinishangaza sijakaa vizuri akanivuta na kunipa mate,kila kitu alichofanya ni kama kilinitia uchizi cha kushangaza nilitoa ushiriiano nikiwa nje ya ufahamu,badae aliniachia na kuniambia vipi niiname? Aisee kwa kigugumizi na hofu nilimwambia kwa sauti ya juu HAPANA! Akaondoka huku akiwa na furaha ya ajabu.

Kesho yake nilimuonya na nikamwambia yeye ni mke wa mtu kwa hiyo anakoelekea ni kumvunjia heshima mmewe,alichoniambia ni kuwa haishi nae na pia kwao hawampendi so niondoe hofu na niwe huru,nikamwambia vipi kwa mimi ninaeishi na mke unaniweka kwenye mazingira gani? Ooh eti mimi napenda umuheshimu mkeo na mimi nitakufanya uwe na furaha zaidi ukiwa na mkeo so nisijali!! Nikama nilianza kuhisi hakuwa sawa kiakili nilimpotezea..

Ila sasa akawa ndio kinara wa kunilinda kuliko wife yaani akimkuta namhudumia mdada kwa muda mrefu lazima aulize kwanini,nikitoka job atasisitiza niwahi home ooh sijui umekula nini leo,nikijibu msg1 anatuma kumi yaani ikawa kero nikawa sizifuti acha wife akapambane nazo maana shafuta sana na wife nimpekuzi mzuri tu.

Kuna siku nimefika job nashika simu nakutana na screenshot za kutosha kucheki ni zake zikionyesha wanavyopelekana na wife,aisee nimeishi na mke kwa muda sikuwahi kujua kama wife anaweza tema yale maneno makali vile lakini kwa upande wake alikuwa anajibu kistarabu kama vile yale matusi hayakumgusa nilisoma mpaka nyingine nikawa nazifuta bia kusoma kwa ukali wa maneno.

Badae akaniuliza unazijua hizo namba ni za nani ? Nikamwambia ndio ni za wife alichonijibu "usijali dear na akiendelea nakuja kukupa hapo hapo job" ilibidi nipande nae nilimuonya na nilimkata kutuma msg za kipuuzi hii siku nilikasirika sana na nilimpiga marufuku kuitumia namba yangu na nikamwambia kwanzia leo nakublock,alipiga muda huo huo nikamsikiliza akawa anaomba msamaha huku analia eti hatotuma msg za mapenzi tena anaomba nisimblock.

Alitulia ila baada ya mwezi alinitaarifu kuwa kapata chuo mkoa fulani na ataondoka baada ya siku tatu aliniomba tuonane kabla hajaondoka nikamkatalia alipoenda chuo tukawa tunawasilia kwa ishu za kibiashara maana biashara yake hakuifunga bali aliachia familia kila kilichohitajika alinipigia ikawa amna ishu za sijui love,baby na upuuzi mingine ni biashara tu.

Alipo kuja likizo ya kwanza alikuja moja kwa moja kijiweni tulisalimiana ila kumtazama tu nikama hajabadilika,kesho yake alituma msg"iv unajua mama anakutambua wewe ni mkwe wake" aisee nilipaniki nilitamani kumtukana yale matusi aliyotukanwa na mke sema mimi sio mtu wa hivyo nikaishia tu kumuambia ana mme amheshimu..

Kufupisha!!

Kwa sasa kamaliza chuo tunaendelea na maisha kama zamani,ile tabia kapunguza ila ajaacha, tukionana ananitaza mdomoni kama vile namlia chake na nikujiuliza anajibu"natamani" halafu huyo anapotea..

Kwa sasa ana mbinu mpya yaan ni kama kajipanga kushinda vita,mbaya zaidi nilikuja gundua jamaa yake ni mshkaji ninayekutana naye mara kwa mara sitamani kabisa kumuharibia ila sasa shida ni kwamba eti sasa hivi nikimuona huyu manzi najishtukia,ukizingatia kuna siku tulizinguana na wife basi nakuwa free kwa huyu manzi japo sio nje ya job maana najua kwa niliko fikia nikiruhusu hili namla!

Sasa wakuu nipeni mbinu za kuruka hiki kiunzi kwa mara nyingine maana nikama naenda anguka vitani kizembe,huyu binti kamaliza chuo kawa mkali na ni smart kuliko mwanzo naombeni namna ya kuchomoka!

Sio kwamba sijawahi msaliti mke wangu hapana nishamsaliti lakini sio kwa mke wa mtu aisee labda niwe sijui!

NI PM namba yake ili nimkanye
 
Mkuu tenda weka uende zako tu apoj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom