Uzalendo na maana yake kwenye maendeleo katika Taifa

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania!

Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache.

Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa.

Angalizo: Siasa, Uchumi, Teknolojia na mambo mengi yanayoshahabiana na hayo hubebwa na vitu viwili.
1. Wakati
2. Uwezo/ Umuhimu

" Usipende kuchezea wakati; maana wakati ukija kucheza na wewe ni ..."

"Karma ni kweli na ipo"

By Mtoto wa Mjini
 
Haahaa wanapenda kuwa vinyonga kwenye maendeleo yanayohusu Taifa letu. Uzuri wakati upo, teknolojia ipo na sheria msumeno ipo kwa makaratasi.

Wangojee wakati ujao na vizuri wakajiandaa kiakili na kimwili.
 
Back
Top Bottom