Tysher JF-Expert Member Mar 26, 2013 207 76 Dec 9, 2013 #1 Habari wadau! Natafuta modem ya kununua ya ZAIN au ya AIRTEL nyekundu,mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani-pm tafadhali.
Habari wadau! Natafuta modem ya kununua ya ZAIN au ya AIRTEL nyekundu,mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani-pm tafadhali.
Kayoka JF-Expert Member Jun 21, 2011 2,239 1,884 Dec 9, 2013 #2 Uko wapi? Ninazo za Airtel. Bei tsh. 29000 tu.