Uza mark ii gx 110 au 100 au ipsum old model.

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Nahitaji moja ya gari hizo. Iwe ktk hali nzuri ndani, nje na injini. Si zaidi ya milage 110,000. Iwe imelipiwa insurance na motorvehicle. Iwe halali si magumashi. Isiwe na accident history. Isiwe inachemsha, maana ni kwa safari ndefu. Bei 5m to 5.5m ni pm
 
Kama hazipo hizo., mwenye cresta gx 100 kwa bei hiyo ani pm.
 
Mkuu mi nauza Toyota Crester number T 545 AUP , bado ipo katika hari nzuri sana ni nyeupe , bei 4,500,000 unaweza nicheki kwenye tigo 0657 14 5555
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom