Uza LUKU, vocha za modem, airtime na startimes kwa Laptop au Desktop. Kuungwa ni Shs. 45,000 tu.

Jamani mbona mnatutamanisha hivyo?
Ila sasa u ki compare na simu ya NOKIA naona inanafuu kuliko hii ya kutaka mtandao na Desk top au Lap top
So kweli ni rahisi kuunganishwa kwa Tshs.45,000/ na Kununua simu kwa 145,000/ ni nafuu lakini sasa itahitaji uwe na kifurushi cha internet
Anyway tunashukuru asante
 
huduma zenu sound kama matapeli :hat:
mkuu mathematics, taarifa yetu ni halisi na tayari kuna mawakala wengi dar es salaam. Pia mikoani wapo ingawa ni wachache. Pia contacts zetu ziko wazi katika thread hii na ile iliyotangulia. Ukipenda twaweza kuonana mkuu.
 
okay, will check you for more infos.. :poa
 
Wakuu,
Tumerahisisha upatikanaji wa huduma ya Button Pay. Sasa tunaunganisha laptop na desktop kwa shilingi 45,000 (forty five) tu. Hauhitaji kupata sim-card wala simu ya nokia c2 dabodabo. Unahitaji kuwa na laptop au desktop computer inayoweza kupata (ku-access) internet.

Tunachodai toka kwako upande wa documentation ni nakala ya Kitambulisho cha Kura, au Passport au Driving License mpya. Pia utatujazia na ku-sign form yetu. Hivyo tu.

Inafaa sana kwa internet cafes, hotels (kwa receptionists wenye desktop/laptop) na kwa yeyote mwenye laptop dukani kwake au computer, etc.

Ili laptop au desktop itoe huduma hii ni lazima iwasiliane na internet. Kwa sasa access ya internet atagharimia mteja.

Zile simu za nokia c2 za 145,000 pia zipo.Wanaozitumia tunawapatia 25MB za airtel internet kila mwezi.

Asanteni.

Contact: 0754260633, 0712186050.

sawa ni kitu kizuri tunaomba utueleweshe jinsi faida inavopatikana....mi nimependa hiyo ya simu coz ni cheap...pia tueleze hiyo ya simu inavyofanya kazi...tafadhali ni muhimu nahitaji kujua ili niwe mteja wako fasta.
 
Mkuu, faida unaipata baada ya kila muamala (transaction). Mfano, ukiuza vocha ya voda ya Shs. 10,000; Salio lako linapungua kwa Shs. 9,500. Salio litakalobaki ni Shs. 500 ambayo ni faida yako. Ili faida iwe CASH ni rahisi. Unauza salio hilo kwa mteja anayehitaji vocha ya 500.

Simu ina program au application inayoitwa BUTTON PAY. Imewekwa toka simu ikiwa kiwandani. Hii application inawasiliana na mitandao tuliyojiunga nayo kwa njia ya internet. (Tunatoa internet bundle ya 25MB bure kila mwezi mara moja-kwa wanaotumia simu). Ni rahisi kutumia simu na rahisi pia kutumia laptop/computer.

Umenisoma mkuu?
 
Back
Top Bottom